Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku umeingia. Nikamwambia kwanini? Akasema unawindwa mno na hata hapo Arusha kuna watu nane na wamelipwa Milioni sita kwaajili ya kufanya maangamizi. Maliza mkutano nenda nyumbani.
Pia soma: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---
Pia soma: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana