Makonda adaiwa kwenda South Africa kwa mara nyingine tena

Kwani na yeye alikuwa kwenye list ya wale waliotuhumiwa mchanga wetu, wale ndio wamezuiliwa kusafiri nje ya nchi, Makonda yuko huru.
Pia mlisema hamtamuandika wala kumuonyesha sasa tena imekuwaje leo mnamfuatilia hadi eapoti na kuchungulia viroba vyake vya mizigo!!!!!!
 
Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
 
Acha kumkufuru Mungu,kwani yeye ndio mtoa riziki,na humpa amtakaye kwa muda sahihi.
 
jamanii..
 
 
Mkuu yaan hata Wewe Leo hii unasema hivyo
 
Mkuu yaan hata Wewe Leo hii unasema hivyo
 
JFK - Join Force with Kings.

Nifahari kiasi gani MZIGO wako ukipitishwa airport na mtu mwenye mamlaka baada ya Rais.
 
Umbea wa kijinga kabisa huu
 
Mkuu yaan hata Wewe Leo hii unasema hivyo
I am 100% POSITIVE!! Sasa drug dealer wa ukweli ana sababu zipi za kumchukia Bashite?!

Hatua ya Bashite kutaja majina hadharani si tu kwamba ilikuwa ni heads-up/alert kwa real drug dealers kwamba wanatafutwa na kwahiyo mwenye mzigo apoteze ushahidi (na ndio maana hawakuwapata) lakini pia real drug dealer hawezi kulalamika kuwa pointed out na mamlaka kwa sababu ni kweli anafanya hiyo business. Atakuwa furious kama atatajwa na raia kwa sababu ataona huyu raia anamchoma kwa mamlaka!!!

Hakuna anayem-mind askari kwa sababu ya u-snitich kwa sababu hiyo ndo kazi yake!!! Lakini askari huyo huyo akimletea mtu u-snitch kwa kosa ambalo hajafanya lazima mdau atam-mind askari... kwa sababu sasa sio anam-snitch bali anampakazia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…