Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumkufuru Mungu,kwani yeye ndio mtoa riziki,na humpa amtakaye kwa muda sahihi.Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
jamanii..Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
Kwani na yeye alikuwa kwenye list ya wale waliotuhumiwa mchanga wetu, wale ndio wamezuiliwa kusafiri nje ya nchi, Makonda yuko huru.
Pia mlisema hamtamuandika wala kumuonyesha sasa tena imekuwaje leo mnamfuatilia hadi eapoti na kuchungulia viroba vyake vya mizigo!!!!!!
Mkuu yaan hata Wewe Leo hii unasema hivyoWale akina nani?! Unamaanisha wale aliowapa tahadhali in advance?! Ni drug dealers anaweza kumchukia Bashite wakati aliwafanyia favor?! Hivi kuna drug dealer anayekamatwa baada ya kuambiwa tunakuja kukukamata?!
Wenye chuki na Bashite ni wale ambao inawezekana sio drug dealers lakini wametangazwa hadharani kwamba ni drug dealers! Mtu kama Kinje hata ukimtangaza wala haimsumbui kwa sababu, iwe kweli au si kweli, majority mjini wanaamini kwamba Kinje ni drug dealers kwahiyo hamna jipya kwenye kauli ya Bashite ambae hata hivyo sikumbuki kama alimtaja!!!

cocochanel yupo wapi siku hizi ?
nimeamini ni yeye yaaniKaenda kupandikiziwa mtoto wa kichupa.
Umbea wa kijinga kabisa huuHuyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
I am 100% POSITIVE!! Sasa drug dealer wa ukweli ana sababu zipi za kumchukia Bashite?!Mkuu yaan hata Wewe Leo hii unasema hivyo