Mizigo mingine itakuwa ped za cocochanel na makaptula ya lemutuz
Nilihisi hii kitu kitambo mkuucocochanel + lemutuz = William Malecela
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
[emoji106]Acha kumkufuru Mungu,kwani yeye ndio mtoa riziki,na humpa amtakaye kwa muda sahihi.
cocochanel + lemutuz = William Malecela
Duh, Jamaa anasafiri kuliko hata Rais, Makamu na Waziri Mkuu!!Vigezo na masharti vimezingatiwa
Mkuu punguza roho ya chuki na visasi. Binadamu huhukumiwa kwa mema na mabaya yake. Sitaki kuamini kwamba hakuna kitu cha maana ambacho huyu dogo anakifanya, ambacho kitakuja kukumbukwa mbeleni.Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Sio kwa Bashite huyo ni mshauri wake mkuu anaenda popote Duniani hata alitaka kwenda mwezini ataendamkuu si alisema hakuna safari za nje, ni za ndani tu
Bashite kwa sasa ni kigagula anapaa na ungo hata akiwa South Africa usiku anakuja Dsm na kurejea anamiliki waganga wa kienyeji zaidi ya 200 kazi yao ni kumlinda msukuma mwenzake na kuwaroga wengine anaowaona wanampingaSouth Afrika waliwahi kuweka hadharani suala la uchawi ya kuwa wanataka kifundishwe chuo kikuu kama zilivyo kozi nyingine, pengine huko ndo bashite anakopayia kiki ya jufanya mambo yake
Mbona yy Bashite alitumia mda mwingi kuongelea watu kwenye list ya blackmail iweje yy asihojiwe kwa safari zake za kwenda kuuza unga alioukamata kipindi kile.Kwani kuna tatzo gani yy kwenda huko? Kama amefata taratibu zote wala haipo shida,kikubwa wivu ndio unatusumbua sie watz tulio weng,mda wote we talk about people and not ideas
Mkuu hapo haumuhoji bash unaihoji jf wala sio yyMbona yy Bashite alitumia mda mwingi kuongelea watu kwenye list ya blackmail iweje yy asihojiwe kwa safari zake za kwenda kuuza unga alioukamata kipindi kile.
Hiyu jamaa huwa unamuota eeeh!Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.
Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?
Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.