Makonda adaiwa kwenda South Africa kwa mara nyingine tena

Makonda adaiwa kwenda South Africa kwa mara nyingine tena

Kwani kuna tatzo gani yy kwenda huko? Kama amefata taratibu zote wala haipo shida,kikubwa wivu ndio unatusumbua sie watz tulio weng,mda wote we talk about people and not ideas
 
Kibendi cha wife kimechoropoka tena baada ya kupandikizwa hivi karibuni hivyo anaenda kukamuliwa tena mbegu zipandikizwe upya..
Kwenye hilo hana ujanja maana hana mtoto mwaka wa 6 toka afunge ndoa..
Msimwone vile na ujanja wote hawezi shuguli mpaka mbegu zikamuliwe kaa za Ng'ombe.
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.

Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?

Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Mkuu punguza roho ya chuki na visasi. Binadamu huhukumiwa kwa mema na mabaya yake. Sitaki kuamini kwamba hakuna kitu cha maana ambacho huyu dogo anakifanya, ambacho kitakuja kukumbukwa mbeleni.
 
South Afrika waliwahi kuweka hadharani suala la uchawi ya kuwa wanataka kifundishwe chuo kikuu kama zilivyo kozi nyingine, pengine huko ndo bashite anakopayia kiki ya jufanya mambo yake
Bashite kwa sasa ni kigagula anapaa na ungo hata akiwa South Africa usiku anakuja Dsm na kurejea anamiliki waganga wa kienyeji zaidi ya 200 kazi yao ni kumlinda msukuma mwenzake na kuwaroga wengine anaowaona wanampinga
 
Kwani kuna tatzo gani yy kwenda huko? Kama amefata taratibu zote wala haipo shida,kikubwa wivu ndio unatusumbua sie watz tulio weng,mda wote we talk about people and not ideas
Mbona yy Bashite alitumia mda mwingi kuongelea watu kwenye list ya blackmail iweje yy asihojiwe kwa safari zake za kwenda kuuza unga alioukamata kipindi kile.
 
Mange anasemaje kuhusu safari ya Makonda?
 
Kama unaweza kufuatilia maisha ya watu wengine kila kukicha yawezekana yako yamekushinda ndiyo maana unakuwa na muda wa kuchunguza ya wengine, ushauri wangu FANYA YAKO
 
Mbona yy Bashite alitumia mda mwingi kuongelea watu kwenye list ya blackmail iweje yy asihojiwe kwa safari zake za kwenda kuuza unga alioukamata kipindi kile.
Mkuu hapo haumuhoji bash unaihoji jf wala sio yy
 
Du, kama ndo kafikia hatua hiyo, basi bashite hashikiki
 
Huyu bwana,kwa mara nyingine, anadaiwa kwenda Afrika ya Kusini siku ya leo tena akisafiri kwa daraja la Bussiness class huku akiwa na rundo la mizigo na wapamba wake.

Nachojiuliza kama madai haya ni ya kweli,kwa wadhifa wake huo huko Afrika kusini anafuata nini kila wakati?

Huyo dogo anatakiwa atambue tu kuwa yeye hana kinga na atakuja kutendewa kama wanavyotendewa kina Seth na Ruge leo hii huku bwana yule akiwa mtazamaji tu kama ambayo Mkulu wa zamani leo hii anavyotazama watu wake wakiteseka.
Hiyu jamaa huwa unamuota eeeh!
 
Chige wanaodeal na sembe pretoria huyo Kinje ni cha mtoto wapo wanaoishi kama wapo mexico huyo kinje anatumwa na hao vijana...swala nalosema na ntalisimamia Bashite hawezi kwenda kwa madiba kule mnamalizana popote pale nakuhakikishia hilo anaweza akaondoka na SA airways hapa pale anapita transit tuu labda anaenda Australia au sehemu ingine...
 
Back
Top Bottom