Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

Albert Daudi Bashite ni mtekaji ,muuaji....Aliratibu matukio hayo

-ALimteka Roma
-ALimpiga TAL risasi
-ALimteka BenSaanane
 
Mzee wewe unateuliwa lini, au wewe ndio zile (tools) wanasiasa wanazozitumia kufikia malengo yao.
 
Hii nchi bila KATIBA MPYA aisee sasa tunakwenda kutawaliwa na hata mataahira.
 
CHama kinachoiba kura kina jipya?
Chama kinachokaa kimya mauaji ya watz wengi kiasi hicho?

Hicho sio chama cha siasa, ni genge la wahuni na wezi kwenye ofisi za umma,magari ya umma na mishahara ya umma!
 
CCM ndio tumaini la watanzania wote. Ndio mtetezi wa wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…