Makonda afanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Afya Kisesa usiku

Makonda afanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Afya Kisesa usiku

Kila nikikutana na post yako nakuonea huruma sana.

Kwanza ni lazima uchangie kila uzi hata kama huna hoja. Unabakia tu kusema ok ili uonekane pale Lumumba kuwa upo kibaruani.

Pole sana maana kibarua chako ni kizito sana.

Waziri wa habari wa nini kwani hakuna wizara ya afya yenye waziri, naibu na hata katibu mkuu.

Ni jambo la kawaida waziri wa habari kukaimishwa na waziri wa wizara nyingine kwani hakuna manaibu huko?

Waziri mkuu unasema yuko ng’ambo ndo sababu nyingine hata hueleweki.

Haya mateso yote unapewa ujira gani?
buku 7 tu mkuu, hamna zaidi ya hyo,
 
Kila nikikutana na post yako nakuonea huruma sana.

Kwanza ni lazima uchangie kila uzi hata kama huna hoja. Unabakia tu kusema ok ili uonekane pale Lumumba kuwa upo kibaruani.

Pole sana maana kibarua chako ni kizito sana.

Waziri wa habari wa nini kwani hakuna wizara ya afya yenye waziri, naibu na hata katibu mkuu.

Ni jambo la kawaida waziri wa habari kukaimishwa na waziri wa wizara nyingine kwani hakuna manaibu huko?

Waziri mkuu unasema yuko ng’ambo ndo sababu nyingine hata hueleweki.

Haya mateso yote unapewa ujira gani? 🤦🏾‍♂️
that's completely none of my business gentleman, you can perceive me freely as you wish,

but you will never stop me from telling the truth on every important issue here on platform. Useless and nonsense mayhem are like hot air to me.

note this plz,
and inform and your friends and relatives. 🐒
 
Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo.....kashtukiza kituo cha afya 🤔

#mamaanaupigamwingi
 
Yes,
in fact ni jambo la kawaida kabisa kwa waziri wa habari kukasimishwa wajibu fulani na waziri wa miundombinu au wa afya kutokana na muingiliano wa ratiba ya waziri husika.

hivi sasa mawaziri wengi, wako ng'ambo na waziri mkuu, lakini pia na makamu wa Rais.
Haiwezekani kazi ikaachwa kufanywa na waziri mwingine ikiwa waziri husika hayupo na aliahidi kuwepo kuifanya kazi hiyo kwa siku husika.

You ladies and gentlemen you don't understand many things ee, right?

waziri mkuu yupo ng'ambo now,
unajua nani anakaimu nafasi hiyo kwa sasa? Or you are talking tu because it's free to talk?🐒
Kwa hiyo kwenye hizo wizara
Mawaziri na Manaibu Waziri wote wameenda ng'ambo ,si mnasemage huko ni kwa mabeberu mnaenda kufanya nini ?
 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Kisesa usiku, kufuatia malalamiko yaliyotolewa na wananchi kuhusu huduma zinazotolewa katika kituo hicho.

Ziara hiyo imelenga kujionea hali halisi ya utoaji wa huduma na kufuatilia changamoto zinazowakabili wananchi wanapohitaji huduma za afya
Tunatolewa kwenye FOCUS.
 
Mambo ya ajabu kweli, NO separation of Power.. Hii nchi kwa sasa ipo kwenye autopilot, inajiendesha yenyewe tu
Eti Midifider kisheti, anapiga pasi kila wizara kisa anapendwa na Mamake....
 
well done waziri Makonda 🤝
Screenshot_20261013-184413~2.png
 
Back
Top Bottom