Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwepo kwenye sherehe za mwaka huu kule Dodoma za tarehe 5 February?....kuwa...
NdioAlikuwepo kwenye sherehe za mwaka huu kule Dodoma za tarehe 5 February?
Asante sana kwa taarifa.Ndio
huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana, wito wake ni kuwahudumia watu popote alipo, hivyo hicho anachofanya hapo ni utekelezaji tu wa wito wake wa mafanikio Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
hiyo mikono amenawa? atalisha watu uchafu hapo. tunajua wahudumu wamejiswafi na wana ujuzi wa uhudumu, mtu anatoka tu huko kapanda treni, anatuma taarifa kwamba mimi nataka nionekane kituko, nitahudumia watu vinywaji hapa. kwasababu wewe ni mkuu wa mkoa wanakuogopa, wanasema sawa, unakuja na mamikono yako ya kisukuma vilevile, mavazi yaleyale, huna lolote. bashite sijui atapata lini akili.
Jaribuni kuwa na heshima kwa watu. Visirani vya nyumbani kwenu kwa wazazi wenu msiwe mnavieta kwenye public. Unaonekana umelewa kwenye mazingira ya kisirani sanahiyo mikono amenawa? atalisha watu uchafu hapo. tunajua wahudumu wamejiswafi na wana ujuzi wa uhudumu, mtu anatoka tu huko kapanda treni, anatuma taarifa kwamba mimi nataka nionekane kituko, nitahudumia watu vinywaji hapa. kwasababu wewe ni mkuu wa mkoa wanakuogopa, wanasema sawa, unakuja na mamikono yako ya kisukuma vilevile, mavazi yaleyale, huna lolote. bashite sijui atapata lini akili.
kisirani gani sasa hapo, unafikiri kilichomfanya ahudumie hapo ninini kama sio kutatufa sifa ambayo hata hajaipata, ulishawahi kuona nchi gani kuna kiongozi amefanya huo ujinga? ameajiriwa na TRC? NO, anajua conditions za kazi, ethics za kazi, mtu akila akaugua wamshitaki nani hapo, yeye au TRC? shida yenu mnaomsapoti huyu akili zenu zinakuwaga zero brain kama yeye, hata vyeti vyenu mtakuwa mmefoji kama yeye, you don't think wala kureason. nini bashite alishawahi kufanya kikafanikiwa zaidi ya landlover za arusha? mention even one, msimtetee, acheni tumkosoe.Jaribuni kuwa na heshima kwa watu. Visirani vya nyumbani kwenu kwa wazazi wenu msiwe mnavieta kwenye public. Unaonekana umelewa kwenye mazingira ya kisirani sana
Wala sio kipimo cha kua kiongozi bora au makini nonsense tu
of course hii ndio kazi ya level yake kwa uwezo wake, huko walikompeleka wamepoteza tu nafasi. alitakiwa kuwa mhudumu wa mgahawa huyu.Kwa kitendo hicho cha kugawa chai kwenye SGR,kuna wajinga watasema anafaa kuwa Rais.
Hiki ndicho anachoweza huyu bwana mdogo. Hana uwezo wa kuwa mkuu wa mkoa. Basi tu
Hakuna kosa. Hatta nchi za ulaya viongozi hujishusha na kufanya kazi za chini.
Kuna chuki ya wazi kwenye haya maneno yako. Yesu alituagiza tupendane, sio tuchukiane.hiyo mikono amenawa? atalisha watu uchafu hapo. tunajua wahudumu wamejiswafi na wana ujuzi wa uhudumu, mtu anatoka tu huko kapanda treni, anatuma taarifa kwamba mimi nataka nionekane kituko, nitahudumia watu vinywaji hapa. kwasababu wewe ni mkuu wa mkoa wanakuogopa, wanasema sawa, unakuja na mamikono yako ya kisukuma vilevile, mavazi yaleyale, huna lolote. bashite sijui atapata lini akili.
Hivi nchii imewai kuwa na mkuu wa mkoa mwenye vituko kama Makonda, ,Mzee wangu wa Toronto alikua na vituko ila vyenye tija ,katika kutumikia wananchi , ila uyu Makonda ni shida aisee.