ni muhimu sana, kama unaamini wewe ni mtu wa haki, kutaja ubaya ni ubaya na wema ni wema. mtu mbaya ni mtu mbaya, na mtu mwema ni mtu mwema. mtu mwovu, mnafiki, aliyeumiza mioyo ya watanzania wengi, mwenye tuhuma za kuua watu, mwenye ushahidi wa kupora magari na mali za watu, kupora nyumba, unatakiwa kumtaja kwa jina lake analostahili. Unakumbuka Yesu alipoambiwa Herode anataka kumdhuru alisemaje? Alimwita herode ni mbweha, kwasababu aliikuwa na moyo mchafu kama wa kwenu huo, wa uuaji, wa utekaji, na kuonea nafsi za watu. hakuna asiyejua ukatili wa bashite, ni wewe tu na akili yako na wote wenye akili kama ya kwako, na ni kwa sababu hayajakukuta, kuna siku yatakukuta hakika ndio utajua hapa duniani kuna watu wanaonewa sana. ninyi ndio mbweha pamoja na bashite na watekaji wote wa nchi hii. aibu iwakute na kuwafukuzia popote mtakapokuwepo maisha yenu yote.
Luka 13:32
Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilisha kazi yangu.