Pre GE2025 Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ulioleta thread Jina lako linatisha kumpigia mtu kampeni siku ya siku utataka malipo
 
Mwijaku alisema atafikiria🤣😂🤣🤗🤗
 
Kigamboni na form four failure,wapi na wapi.
Kule wanataka PhD,Tena za darasani.
 
Mbunge ambaye hakanyagi Marekani na Ulaya wa kazi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…