Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

Alafu Bashiru na polepole hawajawahi kupitia hata uvccm,walikuwa ni wanahalakati.
Ndio sababu wanamshangaa Makonda.

Huwezi kuupata ukuu wa nchi kutokea kwenye ukuu wa mkoa ni lazima ujiongeze....Makonda ni mwanasiasa ndio maana ametake risk akipenya tu 2025 anatangaza nia kukalia kiti cha Chamwino!
 
Kwa hiyo waendelee kuwa wanahalakati?
 
Hata mwenyekiti ameyasema hayo Mara kadhaa. Kitu unachotakiwa kujua kwa sasa ni kwamba kwenye siasa hakuna suala linalokosa majibu.
Kama mwenyekiti analisema alafu halipewi uzito basi ujue ndani ya chama maisha yao ni sawa na yale ya ukoo wa kambale
 
Hilo wanaliweza kwa 100%
Wana la kujitetea. Watasema ile “tamaa ya madaraka” walimaanisha kwamba huwezi kuendelea kuwa RC huku ukiwa umetia nia. As long as Bashite kaachia uRC, hana tamaa[emoji4]. CCM ni wabobezi kwenye mambo ya kupiga u-turn highway
 
Acha wivu kaka
 
Makonda atawaumiza sana akina Bashiru.

Huwepo wa makonda ndani ya ccm ni husitawi mzuri sana wa kifo cha ccm huko tuendako.
 
Ndio sababu wanamshangaa Makonda.

Huwezi kuupata ukuu wa nchi kutokea kwenye ukuu wa mkoa ni lazima ujiongeze....Makonda ni mwanasiasa ndio maana ametake risk akipenya tu 2025 anatangaza nia kukalia kiti cha Chamwino!
mkuu utakuwa umechoka kufikiri, yaani kabisa unamuwazia makonda kuwa rais wa nchi?!.
labda kama atakuwa ametuloga wananchi woote hadi na wachawi wenyewe
 
Bashiru na Polepole ni ccm academia, wanajifanya wanasimamia itikadi wakati wenye ccm wanajua fika sio itikadi na miiko inaiendesha, bali utashi wa kiongozi na hali ya upepo unavyovuma. Ndani ya ccm mwenye maamuzi ni mwenyekiti, atakalosema inabidi wengine wote kutii bila kujali kanuni, wala katiba inataka nini.

Polepole aliwahi kusema 2015 UCHAGUZI UKIWA HURU NA WA HAKI CCM IJIANDAE KUKABIDHI IKULU.
Kwa sasa Polepole ni karibu mwenezi wa chama hicho hicho.

Somo
Ukiwa CCM lazima uwe mnafki kama Polepole.
 
Wakimkata ACT - wazalendo wanaweza kumuokota kama walivyomuokota Membe. Ndiyo utamu wa mchezo wa siasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…