johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio sababu wanamshangaa Makonda.Alafu Bashiru na polepole hawajawahi kupitia hata uvccm,walikuwa ni wanahalakati.
Huwezi kuupata ukuu wa nchi kutokea kwenye ukuu wa mkoa ni lazima ujiongeze....Makonda ni mwanasiasa ndio maana ametake risk akipenya tu 2025 anatangaza nia kukalia kiti cha Chamwino!