Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

Kwa ninavyoona Makonda akipitishwa na ccm tu... Ubunge huo kauchukua hata bila kuiba kura.

Atawaleta wasafi wote na kila Bongo movie unaemjua. Kwanini wananchi wasimchague. Na pesa atamwaga za kutosha.
 
DAB ana siri nyingi za maovu ya yesu wa lugola hivyo hawezi kumtosa hata akikosa Ubunge kule Kigamboni tusishangae akipewa wa viti maalum na kuzuka kwenye uwaziri kamili.
Kweli
 
Kati ya watu ambao siwaamini ni Polepole, anayoyasema si anayosimamia.
 
Bila kumuongelea hamupati usingizi.. 😁
Kiongozi munaye mupenda sana sana.. bila kusikia yake.. hamutulii.. najua mungekuwa na nafasi.. ya kumpa kura.. mungemmwagia teletele..

Sema ..... ...eeeee 😃
 
Mchakato ukiwa fair, Makonda akashinda, kunahaja gani ya kujihudhuru! Au mie sielewi maana ya democrasia! Msiwape presha viongozi wetu kirejareja namna hii!
 
Hao ni Ukoo wa Panya ,Bashite anapitishwa na kina polepole na bashiru wataendelea na vyeo vyao huku wkiwa na uso mkavu kama hawajasema kitu,hao watu ni mabingwa wa kubadilika ,washaongea mengi wakati wapo upande wa pili na baada ya kupata shushu wameakana maneno yao.
 
Mwenyekiti ni Mwenyekiti uamuzi wake haupingwi na viongozi wengine au mtu yeyote ndo maana tumeona watendaji wateule wake wote wameachana na nyadhifa zao na kuchukua Fomu za kuomba Ubunge kwa ahadi toka juu ili wakapumzike wakipata mapato makubwa. Tunaona wateule wanakimbilia Ubunge nafasi zao zikijazwa saa hiyohiyo kutoka kwenye orodha kubwa ya waunga mkono juhudi wale wakikosa Ubunge watapangiwa kazi nyingine. Wateule wengine ndo watasimamia Uchaguzi na kutangaza matokeo wakionywa wasitangaze wapinzani washindi au wapoteze ajira zao na maslahi. Hao Makatibu nao wanatekeleza maagizo toka juu na wana maslahi ya kulinda kwa hiyo Makonda na wateule wengine waliojaza Fomu tutaenelea kuwa na nao Kama Wabunge au watendaji mbalimbali. Once in you are in, Chama hakitupi makada wake wanazungushwa tu!
 
Ndugu kweli itasikitisha sana iwapo, Makonda atapitishwa Kigaboni, kwani hana ushawisi mkubwa hapo, kuna baadhi ya wagombea wana ushawishi mkubwa sana, lakini hawana support MK.

Msione haya mazingaombwe tunayofanyiwa, Makonda anazo baraka za MK na akina Polepole, Bashiru na lile genge lao.
 
Hiyo inaitwa siri ya mtungi
DAB ana siri nyingi za maovu ya yesu wa lugola hivyo hawezi kumtosa hata akikosa Ubunge kule Kigamboni tusishangae akipewa wa viti maalum na kuzuka kwenye uwaziri kamili.
 
Reactions: BAK
Wenye akili hawashawishiwi na miziki ya kijinga, bali ni sifa tu za mgombea ndiyo zinatazamwa.
Kwa ninavyoona Makonda akipitishwa na ccm tu... Ubunge huo kauchukua hata bila kuiba kura.

Atawaleta wasafi wote na kila Bongo movie unaemjua. Kwanini wananchi wasimchague. Na pesa atamwaga za kutosha.
 
Dr.Bashiru alishaapa kwa Miungu yote kuwa CCM kamwe haitatumia wasanii kwenye kampeni za 2020.

Tuanzie hapo kwa hiyo historia fupi ya Dr. Bashiru.
 
Tatizo lake kubwa ni kuendekeza njaa, hana tofauti na hawa wafuatao.

1:Kabudi... Nimeokotwa jalalani

2:Jaffo... Mimi siyo kitu mbele ya mteuzi wangu maana ni fundi seremala tu.

Hivi mtu unajiondolea haki yako ya kuheshimiwa na jamii kisa tumbo?
Kati ya watu ambao siwaamini ni Polepole, anayoyasema si anayosimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…