Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani itapendeza

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani. Ikishindakana Pwani basi hata Mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa awe karibu na nyumbani na karibu na nyumba ya milele ya Mzee mpendwa wake

Mjini hapa hata Mzee hakumrudisha
 
Makonda haufai kabisa kupewa uongozi wewe ni mpandisha mabega mbobezi!.
 
Tafuta kazi nyingne ya kufanya sio lazima kuvizia teuzi ndo uishi.

Mbona sie sio viongozi na tunapiga maepo we unakwama wapi??!!
 
Akija Pwani na ubabe wake wa kindezi wanamtoa mshipa
 
Thubutu! Bashite kwishinei wanangu. Akavue sangara kwao au kulima pamba. Natamani akachunguzwe amepata wapi huu ukwasi alio nao.
 
Thubutu! Bashite kwishinei wanangu. Akavue sangara kwao au kulima pamba. Natamani akachunguzwe amepata wapi huu ukwasi alio nao.
Huo ukwasi uchukuliwe lakini arudishwe kwenye safari yake ya kisiasa, bado mdogo kupotea
 
Hawezi kumrudisha popote aliwadharau Sana
 
Kwani Makonda hawezi kuishi bila ya kuwa Mkuu wa mkoa?

Makonda sidhani kama ana sifa yoyote ya kuwa RC. Aliipata hiyo nafasi kwa sababu awamu iliyopita ilikuwa inawwtaka watu ambao hawana utulivu wa akili.
 
Acheni kupangia watu Cha kufanya
 
Thubutu! Bashite kwishinei wanangu. Akavue sangara kwao au kulima pamba. Natamani akachunguzwe amepata wapi huu ukwasi alio nao.
Hilo la ukwasi uko sawa arudishe kila pesa aliyokwapua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…