Makonda alichaguliwa na nani kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ?

Makonda alichaguliwa na nani kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ?

Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
bora timu itolewe tu mashindanoni kuliko kuongozwa na wahamasishaji wa dizaini hii ambao ni dhahiri timu itakaposhinda watasema ni juhudi za "mtukufu".

kama mbwai na iwe mbwai!
 
bora timu itolewe tu mashindanoni kuliko kuongozwa na wahamasishaji wa dizaini hii ambao ni dhahiri timu itakaposhinda watasema ni juhudi za "mtukufu".

kama mbwai na iwe mbwai!
Unajua Wallace Karia anaamini anaweza kuitumia TFF atakavyo , anajidanganya sana ! ni vema akamuuliza Ndolanga
 
Sasa ukisikia kufeli hapo tumefeli kweli kweli kwasababu haiwezekani mtu asie kuwa na uelewa na mpira hata 00.001% apewe cheo kama hicho nawaambie tunapoelekea hata michuano ya secafa tutaisikia kwa majirani tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
Alichaguliwa na shetani au ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani jifunze kutofautisha Benchi la Ufundi na Uhamasishaji

Makonda hakachaguliwa kwenye Bench la ufundi Bali ni Mhamasishaji tu Jambo ambalo halihitaji kujua Mpira wala Kutojua Mpira, Sasa unaposema hajawahi kucheza mpira sijui umekusidia kuprove nini wakati Bakhressa hajawaji kucheza hata Chandimu na anamiliki timu ya Azam lakini wewe kwenye Uhamasishaji tu unaanza kukosoa.

Watu tunapenda ujuaji kweli.
Uhamasishaji bila ushawishi ni kazi bure,
Ingekuwa anawahamasisha UVCCM sawa ila sio watanzania.

Uganda piga hilo genge la Bashite na Lemutuz siku ya jumapili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite ameprove failure kwa kila anachokianzisha,MF vita dhidi ya madawa ya kulevya, usafiri bure kwa Waalim,mgambo wa Makonda na mengine lukuki, kwenye mpira atupishe huko!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
taarifa za nyuma ya pazia zaonyesha kwamba lengo la waunda kamati hii ni kutafuta sifa .
Huyo kiongozi wa hiyo kamati ni nini amewahi kufanya kikakamilika na kikasimama machoni pa watu?

Ona sasa Mlevi Piere na Wema ndio wanatumika kuhamasisha watu.

Kuna vitu lazma tukubali hatujajaliwa na Mwenyezi Mungu hata kama tukiwa na mamlaka makubwa vipi.

Hivi Simba waliunda kamati ya kuhamasisha?
Yote hayo ni tisa, kumi ni kwamba, hata kama tutaunda kamati ya aina hiyo basi wanaoiunda pamoja na kiongozi wake ni lazima wawe watu wenye mahusiano mazuri na jamii. Watu safi.

Uganda watawaachia majirani zao washinde kwasababu wao hawana cha kupoteza.
 
Eti mpiga picha za utupu naye kageuka kuwa mhamasishaji ! basi wamchukue na yule Amber nini sijui aje naye ahamasishe , Mungu siyo fala wa kubariki laana
 
Upumbafu mtupu tff wanatufanyia. Mpira wa ushindi hauhitaji mtu akuhamasishe ili uucheze au kuushangilia.

Badala ya kutengeneza Mpango mkakati wa kuifanya taifa stars ili iwe timu imara wao wanataka watu wapige makelele ili washinde.

Nyambafu zao kabisa, mpira ni mguuni si mdomoni. Akina makonda na wenzao wanapoteza muda tuu.
TFF wajitafakari kwa hili.

Huna mpango mkakati hakuna ushindi wowote na huwezi mshinda popote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema ndg TFF & AMUNIKE hawawezi kutupeleka kokote hata km by default tukafuzu afcon hakuna tunachoenda kukifanya ksb hakuna mipango endelevu ya kuinua soka letu zaidi ya zima moto na uswahili wakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom