Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?

Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria

1.jpg
 
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA?

Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria https://t.co/ldtGJRSkblView attachment 2253153
Sheria gani inakataza uvutaji wa shisha? Itaje
 
Ni kukosa exposure tu ndiyo kunafanya mtu aone shisha ni kitu kibaya.
 
Jamii zenye maadili zimebaki mikoani tu..hapa dsm kila mtu na maisha yake chamsingi havunji sheria za nchi.

Mleta uzi uvutaji wa shisha umekatazwa na kifungu kipi cha sheria ya mwaka gani..au yalikua matamko tu ya watu binafsi.
 
Makonda alifanya watu wavutie majumbani mwao hahahahah siku izi kila kona unayopita hadi vitoto navyo vinavuta!
 
Back
Top Bottom