Hata angelipwa Milioni moja kwa siku, Bunge la katiba walikaa chini ya miezi kumi na mbili, Hawakukaa mwaka mzima
Haya kwa siku 300,000 week ni 2,100,000
Kwa mwezi ni 8,400,000
Kwa mwaka ni 100,800,000 yaani Milioni mia moja na laki nane
Je Bunge la katiba walikaa mwaka mzima?
Walikaa chini ya miezi 5
Makonda hata ukijumlisha Mali za ukoo wake na ndugu zake na marafiki zake hawana uwezo wa Kumiliki bilioni moja
Makonda ni mtanzania maskini kama Wengine, Aliridhika na Mali za kupora na matako yakalia mbwata eti anakula raha kuliko watu wote hapa Tanzania kwa Mali za uporaji
.