Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Matusi ni kielelezo cha kuishiwa hoja.
Bwana ako bashite siku akifika kwenye viunga vya mahakama tu, ndio utakuwa mwisho wake. Watajitokeza watu mamia kwa maelfu kuwasilisha ushahidi wao kama ilivyokua kwa Sabaya. Unadhani ni kwanini anaruka ruka kufika huko? Time will tell..
 
Akili za kimaskini ndio hizi. Vipi na wale mamilioni ya watu aliowatendea mema na wao watamshtaki?.
 
Akili za kimaskini ndio hizi. Vipi na wale mamilioni ya watu aliowatendea mema na wao watamshtaki?.
Ha.wara una mimba changa wewe? Kosa moja halijawahi kufutwa kwa maelefu ya mema, huko mtaani kwenu huoni wezi wa kuku kwa mara moja tu wakichapwa mvua za kutosha kupitia mahakama zenu hizo za CCM? Una umri gani we ki.baka wa lumumba?
 
Makonda akae kwa kutulia wenye ccm yao wameamuamu kudeal nae taratibu na kumtia adabu.
 
Embu msipendelee upande wowote embu mwacheni Paulo afunguke
 
KUJENGA GHOROFA HUWA NI KWANZIA SH. NGAPI? USKUTE NI ZILE GHOROFA ZA 300MIL, SASA NAYO NI GHOROFA HIYO AU MFANO WA GHOROFA.
 
Kuna tetesi anafanya na madawa.

Enzi zake za ukuu alikuwa anatoa misaada mpaka ya milioni 500
 
Makonda alikuwa mwizi tuu, hana biashara yeyote inayoeleweka zaidi ya kibarua cha ukuu wa mkoa, bilion ya kujenga kaiba au kadhulumu tuu achunguzwe huyu, lakini nani wa kumchunguza wakati serikali nzima wezi watupu, tunaweza kumsamehe lakini kwa utekaji na ushenzi mwingine lazima awajibike kama Sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…