Makonda alivae tatizo la umeme Nchini. Mie nadhani ndiye kiongozi pekee CCM anayeweza kuwatepetesha TANESCO

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
 
Sasa matatizo yatakuwa hayaishi kwasababu siku akiondoka makonda wezi wanarudi pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…