Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Sio mkoa ni jijiHuyu ndo kiongozi anayeongoza mkoa ...poleni sana
Ilikuwa ni kwenye birthday yake 15/02 jana
Wanaendelea kuenjoyKabsa asee ni time yao bhana
wachache sana wanaelewa hili...umaskini ukituzidi kila kitu tunachukia tuuNje ya uongozi kuna maisha pia, ilimradi havunji sheria za nchi.
Ha haaa haaa kweli mkuu nilisahauMsukuma huyo.
Dar es Salaam hakuna maboya boya kama hao.
RC Makonda kwingine nakuunga mkono ila nakuomba tafuta ' Mshauri ' kwani kiukweli kwa jinsi Tanzania tulivyochelewa Kimaendeleo halafu na Wewe Mheshimiwa Rais alivyokuamini na kukuteua kwa hiyo nafasi ningekuwa ni Wewe sidhani kama hata huo muda wa kusheherekea Birthday kwa ' Mbwembwe ' kama hizi ningekuwa nazo. Sometimes huwa unaniangusha mno Comrade halafu hata kwa Umri wako na ' Utoto ' uufanyao haviendani kabisa. Nahisi hata Mheshimiwa Rais kwa kiasi fulani atakuwa amesikitika japo anaweza asikuambie.
Mkoa unaouongoza wa Dar es Salaam una ' changamoto ' nyingi na zinahohitaji ufumbuzi wa haraka sana. Ningekuwa Mimi ndiyo Wewe ningeitumia hiyo siku kwanza kwa kwenda Kusali kisha nafanya mazungumzo ya Kiufumbuzi na Walimu au Sekta zingine zenye matatizo ili nipate ufumbuzi wake.
Nasisitiza tena bila uwoga kuwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda unaniangusha sana na unasababisha sasa hata Mamlaka ya Ukuu wa Mkoa kuanza kudharaulika na sidhani kama ni jambo jema na lenye afya Kiutawala na Kiuongozi. Punguza SIFA na ULIMBUKENI leo ni Mkuu tu wa Mkoa una ' mashauzi ' hivi hivi ukiteuliwa kuwa Mbunge au Balozi au Waziri tutakunywa maji kweli?
Nimesikitika sana na huwa sipendi UNAFIKI na nimekusema wazi wazi ili ubadilike. Umeshaniharibia ' mood ' yangu.
Mwisho nakuomba sana anza sasa kuvipenda Vyombo vyote vya Habari na acha ' Kuvibagua ' vingine kwani kuna siku utavihitaji hivyo unavyovidharau na ' vitakutosa ' kwa kukuharibia mipango yako yote ya Kiutendaji unless uniambie kuwa labda kuna faida fulani unaipata kwa Wewe kuwa Kipenzi cha Clouds Media Group na ndiyo maana unawang'ang'ania au yawezekana pia hao Clouds Media Group labda wanajua SIRI zako na ' madhaifu ' yako hivyo unawaogopa na ndiyo maana unalazimika kuwanyenyekea.
Upendo wako wa Clouds Media Group umeshawajengea chuki kwa Wanahabari wenzao na kumbuka Watu wa Media wanategemeana hasa Kiutendaji je unadhani hiki Kiburi ulichowajengea Clouds Media Group siku ukitoka ' Madarakani ' watapa ushirikiano kwa wenzao ( media zingine? )
Badilika upesi Kaka hujachelewa!
hilo undi lingine watafanyia wapi mkuu hahahahahMbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
makonda anaipenda clouds kinafiki sababu ya magufuliRC Makonda kwingine nakuunga mkono ila nakuomba tafuta ' Mshauri ' kwani kiukweli kwa jinsi Tanzania tulivyochelewa Kimaendeleo halafu na Wewe Mheshimiwa Rais alivyokuamini na kukuteua kwa hiyo nafasi ningekuwa ni Wewe sidhani kama hata huo muda wa kusheherekea Birthday kwa ' Mbwembwe ' kama hizi ningekuwa nazo. Sometimes huwa unaniangusha mno Comrade halafu hata kwa Umri wako na ' Utoto ' uufanyao haviendani kabisa. Nahisi hata Mheshimiwa Rais kwa kiasi fulani atakuwa amesikitika japo anaweza asikuambie.