Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

Makonda alivyonusurika kumwagiwa maji na watangazaji wa Clouds

Wasukuma bwana!
Soon utasikia John Beer nae kaiga tena yeye kwenye swimming pool na kichupi.
 
Daud bwana ha ha ha ana shida kweli badala ya kukaa na kufikiria suala la kufeli kwa wanafunzi wa mkoa wake anakwenda kwa mapuga wenzie kumwAgianA shahawa na choko lenzie hilo lenye Tshirt ya PSG
 
Naona wanaume wa Dsm mmewakilishwa na mkuu wenu wa mkoa kwa matendo yenu.
 
mbona kawaida tu ukizingatia ana vina saba vya naniliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
Yesu ana miaka si chini ya 2000.bado anafanyiwa birthday.
 
Kwenye Utawala huu wa sasaivi kiukwelii kabisa Clouds media group wanakula Bata Sana....Ila Ngoma ikilia Sana mwishoni inakuja kupasuka tu, sisi yetu macho tu.
 
Back
Top Bottom