wordNje ya uongozi kuna maisha pia, ilimradi havunji sheria za nchi.
Enzi za mwalimu hamna ujinga huo,utandawazi ni shidaClouds wanaenjoy utawala huu
Kwa 100% Uko Sahihi MussaKwa Mujibu wa SUGU,Hata hao watangazaji wa Clouds, wengine ni "watoto" kama MAKONDA.
Mmmh kumbe da c lamu hauitwi tena mkoa sikuiz? Kwahiyo idadi ya mikoa Tanzania imepungua?Sio mkoa ni jiji
Hahahaha! Mzigo upi mkuuDaaahhh na mzigo wote huo ukimwagiwa maji si itakuwa ndembe ndembe aka kanga moko
Yesu ana miaka si chini ya 2000.bado anafanyiwa birthday.Mbona masuala ya kumwagiana maji ni ya kike na mara chache kwa wanaume wa Dar es Salaam.
ukweli Ngosha umeni disappointment kabisa.
Alafu birthday huwa ni kwa wanawake na watoto bhana.
Daudi Bashishe ni nani?Paul Kagenzi katika utoto wake!!