Kura? Kwani anashindana na nani Samia? TADEA au CHAUMMA?Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma" zinapatikana.
Unaelewa ulichoandika , Makonda hana influence kama mdhaniavyo huko kanda ya ziwa, yani usombe watu kujaza vichwa then kuna influence yoyote ! ila all in all hizo kura zinatafutwa kwa uchaguzi na wenye ushindani upi, mbona mnajilisha upepo sanaWana wa stratejia ndani ya CCM wamefanikiwa sana kumleta Makonda Paul ambaye ni msukuma mvaa utepe mkononi unaoashiria majonzi .
Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma" zinapatikana.
Heko kwao kwa wanazuoni ndani ya ccm kwa mpangilio bora wa kampeni.
Looks like ni strategic move b'se Watanzania ni rahisi kuwahadaa..Jamaa ni zaidi ya mnafiki.
Anaweza Asiwe Na Influence ila ukaribu wake na Hayati na Jinsi mambo yalivoharibika katikati ilikua ni lazima wazee wa mkakati wampeleke kule ,Usishangae Dotto kuwa PM na Paulo kuukwaa Uwaziri.Unaelewa ulichoandika , Makonda hana influence kama mdhaniavyo huko kanda ya ziwa, yani usombe watu kujaza vichwa then kuna influence yoyote ! ila all in all hizo kura zinatafutwa kwa uchaguzi na wenye ushindani upi, mbona mnajilisha upepo sana
Mbio za mtu mmoja zinahitaji strategy gani kushinda?Wana wa stratejia ndani ya CCM wamefanikiwa sana kumleta Makonda Paul ambaye ni msukuma mvaa utepe mkononi unaoashiria majonzi .
Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma" zinapatikana.
Heko kwao kwa wanazuoni ndani ya ccm kwa mpangilio bora wa kampeni.
Hata mimi nimemshangaa huyu flukeKura? Kwani anashindana na nani Samia? TADEA au CHAUMMA?
Unahakika,au ameliongeza?Wana wa stratejia ndani ya CCM wamefanikiwa sana kumleta Makonda Paul ambaye ni msukuma mvaa utepe mkononi unaoashiria majonzi .
Makonda ameenda kanda ya ziwa na kuhakikisha kura za "kisukuma" zinapatikana.
Heko kwao kwa wanazuoni ndani ya ccm kwa mpangilio bora wa kampeni.
Chadema ilishakua na wabunge,madiwani na halmashauri kadhaa tokea 1995. Hao chaumma wana diwani hata mmoja?Chadema ilikuwa kama CHAUMMA mwaka 95 hadi 2005