Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
USijisahaulishe simba ni mali ya Mo... kama una kibunda unaeza mvua ukamiliki weweMakonda aliwahi kumteka Mo.
Mo ndio kirusi kikubwa simba.
Hii ngoma ngumu sana
Yani hapo Mangungu akishaondoka basi Simba inarudi kwenye ubora wake,haiwezekani mtu mmoja anyooshewe kidole na watu wote alafu watu wachache wasio itakia Simba mema watoke wamtetee.
Hadi hapa inaonesha jinsi mgogoro ulivyo,kila mtu anamtupia lawama mwenzakeMakonda aliwahi kumteka Mo.
Mo ndio kirusi kikubwa simba.
Hii ngoma ngumu sana
Singida ilimshinda akajibanza kwenye Simba na ameing'ang'a ni kweli kwelimo apewe simba kwa asilimia wanachama sijui wananchi wapewe asilimia ndogo
πππππBashite, mzee wa Arnold Schwarzenegger, mzee wa Bentley, karudi na vituko vyake au?!
Kwani kanuni za uwekezaji kwa timu za wanachama zilitengenezwa na nani?Je, hiyo ni kazi ya serikali kweli? Kwa nini Simba? Serikali ina maslahi gani na klabu ya Simba au hata kama ingekuwa ni klabu ya Yanga.
Je, ingekuwa ni klabu ya Lipuli au African Sports pia huo uingiliaji ungefanyika..!!!???
Kwa nini hii serikali inaingiza siasa kwenye michezo.!!??
Sasa hilo linawahusu wanachama wa klabu na sio jukumu la serikali kuna vilabu vingi vina matatizo kibau lakini serikali haina habari navyo.Kwani kanuni za uwekezaji kwa timu za wanachama zilitengenezwa na nani?
Msajili anatakiwa kutekeleza mabadiliko ya katiba kwa haraka au kutoa majibu kwanini anakataa hayo mabadiliko.