Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,434 Reaction score 27,177 Aug 30, 2020 Thread starter #21 Mr pianoman said: Huyu mtu kama alihusika kweli na matendo ya kuwapoteza na kuwajeruhi hawa watu, Mungu atamlipa tu maana inasikitisha sana Click to expand... Mwanasiasa hajui mambo ya Mungu, wao wanasema "wataombewa-kufanyiwa misa na watakwenda mbinguni
Mr pianoman said: Huyu mtu kama alihusika kweli na matendo ya kuwapoteza na kuwajeruhi hawa watu, Mungu atamlipa tu maana inasikitisha sana Click to expand... Mwanasiasa hajui mambo ya Mungu, wao wanasema "wataombewa-kufanyiwa misa na watakwenda mbinguni
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 30, 2020 #22 DOUGLAS SALLU said: Ana kimavi ndiyo maana kila jambo aliloanzisha alifeli Click to expand... Mambo aliyoanzisha hayakuwa na SMART goals ndiyo maana hayakufanikiwa. Specific Measurable Actionable Realistic Time limit
DOUGLAS SALLU said: Ana kimavi ndiyo maana kila jambo aliloanzisha alifeli Click to expand... Mambo aliyoanzisha hayakuwa na SMART goals ndiyo maana hayakufanikiwa. Specific Measurable Actionable Realistic Time limit
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,434 Reaction score 27,177 Aug 30, 2020 Thread starter #23 Sky Eclat said: Mambo aliyoanzisha hayakuwa na SMART goals ndiyo maana hayakufanikiwa. Specific Measurable Actionable Realistic Time limit Click to expand... sure, nafkiri pia elimu yake ya kuunga unga na kutomaliza madarasa, na kutumia cheti cha mtu maana majina yake ni Daudi albert Bashite na anatoka kijiji kimoja na Gwaji mzee wa kuchikuchi-bao moja ndani ya sekunde 10
Sky Eclat said: Mambo aliyoanzisha hayakuwa na SMART goals ndiyo maana hayakufanikiwa. Specific Measurable Actionable Realistic Time limit Click to expand... sure, nafkiri pia elimu yake ya kuunga unga na kutomaliza madarasa, na kutumia cheti cha mtu maana majina yake ni Daudi albert Bashite na anatoka kijiji kimoja na Gwaji mzee wa kuchikuchi-bao moja ndani ya sekunde 10
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Aug 30, 2020 #24 Dah...nimeamini kweli CCM wana mbinu zaidi ya 2000....na Hadi Sasa wametumia mbinu 9 tu [emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah...nimeamini kweli CCM wana mbinu zaidi ya 2000....na Hadi Sasa wametumia mbinu 9 tu [emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]