Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Umemaliza Uzi ufungwe 😂😂😂Rubani
Ngoja apige misele kwanza, awa achie achie mavumbi 🙌 🤕😂😂Umemaliza Uzi ufungwe 😂😂😂
Tunaposema huko CCM kunafukuta muwe mnatuelewaWaziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.
MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.
MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI
Acha shobo..Huyu mjinga akiongea bila kumtaja huyu jini wake jiwe nadhani anaugua.
Kampeni ya Kusifu na Kuabudu Watawala Inaendelea.Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo Machi 26, 2024.
MAKONDA: ANACHOKIFANYA RAIS SAMIA NDICHO ALIKIFANYA MAGUFULI
Kwani sisi wapanda mabasi ndo haki yetu kusubirishwa?Waboreshe na huduma sasa sio tunasubilishwa airport utafikiri tupo stendi ya mabasi
Sasa kashfa za nini kwa Magufuli?Huyu mjinga akiongea bila kumtaja huyu jini wake jiwe nadhani anaugua.
Ukiachana na aliyofanya ni Raisi wa kwanza kufia madarakani tangu uhuru. Hapo tu kuna exception.Ukweli usemwe. Katika maraisi waliogoma kufa ni hayati nyerere na hayati JPM JOHN POMBE MAGUFULI.
Huyu mzee kagoma kufa kabisa, kila kukicha yupo midomoni mwa watu.
Kama ni ukatili aliofanya unasabbisha watu waendelee kumuongelea au mambo aliyoyafanya ambayo yanaonekana mpaka sasa, yanaypsababisha watu waendelee kumuongeleea bado sijaelewa.
Itoshe kusema kuelekea uchaguzi mku NINA HAKIKA JINA LA MHESHIMIWA HAYATI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI LITAKUWA KAMA MAJI USIPOLINYWA UTALIOGA .
Na tayari CCM WANATUMIA KAMA MBINU YAO YA VITA KWA KUENDELEA KUMTUMIA MAGUFULI
Inaweza kuwa sio ndege tu ni mtu maana haiingii akiliniYaani siku nzima ya kazi imepotea kwa kuipokea ndege tu? Ni Tanzania pekee! Hatufiki.