Katibu mwenezi akiwa ziarani mkoani geita kasema hivi!
Yeye siyo mnafiki kama CCM wengine waliomsaliti Magufuli na kumkana, Yeye Paul Makonda kasema Magufuli ndiye kiongozi wake ambaye hatoweza kumsaliti hata kama atawekewa bastola kichwani"
HAYO MANENO KAYATAMKA Mbele ya umati, pia kaenda kutamka kwa mama Magufuli!
Ukweli ni kwamba Makonda tayari kashamsaliti Magufuli hadi muda huu kama ifuatavyo!
Katika dini anayoiabudu Yeye Makonda ya kikristu; Ukisoma kitabu cha Mathayo 26:33-35 na 69-70 kuhusu ufuasi wa mtu!
Andiko linasema hivi!
33 Petro akasema, “Hata kama wote watakuacha, mimi sitaku acha.”
34 Yesu akamjibu, “Ninakuambia kweli, usiku huu huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.” 35 Lakini Petro akasema, “Hata kama itabidi nife pamoja na wewe, sitakukana.” Na wana funzi wote wakasema hivyo hivyo.
Hapo tuondoe Petro tuweke Paul Makonda akiwa kama mwanafunzi mteule wa Magufuli kati ya wale wanafunzi 12, akiwemo Makonda, Chalamila , Ally Happi na kina Yuda wengine wa sampuli yake!..
Kabla ya kuteswa kwa Yesu waliahidi kwamba HAWATAMSALITI HATA KWA BASTOLA! Lakini baadaye mateso yalipokuja waligeuka!
...andiko linaendelea linasema hivi;
69 Wakati huo Petro alikuwa amekaa uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia akamwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” 70 Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui usemalo.”
Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kubali mkataba wa hovyo kama ule wa bandari kupewa mwarabu au muwekezaji sehemu nyeti ya nchi kwa miaka yote hiyo ....wanafunzi wateule wake akiwemo makonda na wengine wakashangilia!
CCM ikiwa ndiyo serikali, na Paul makonda akiwa ndiye katibu Mwenezi na mwanafunzi wa Magufuli!
Mkataba wa bandali unapitishwa na Paul makonda anazunguka kuinadi CCM!
Na hataki waandishi wamhoji kuhusu maoni yake kwenye ule mkataba (SIMJUI MTU HUYO MAGUFULI KUHUSU MKATABA)
Makonda anasema HATAMSALITI Magufuli hata kwa bastola lakini anazunguka nchi nzima kwenda KUITETEA ILANI ya chama kilichogawa bandari! (Simjui mtu yule)