Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia

Anataka abaki peke yake, kati yao wanaotamani kugombea urais 2030.
 
Makonda bhana ...
 
Duh...!, japo namkubali sana bosi wangu huyu, kwasababu mimi ni sehemu wa tuliompendekeza huyu awe RC DSM, tumelitoa pendekezi hili leo usiku wa saa 2:00 Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Chuma kikaona hiyo post ya JF, ilinyanyuliwa simu moja tuu!, usiku huo huo faili mezani!, ilipita siku moja tuu!, kesho yake ni tangazo kwenye bomba!.

Ni mimi nikashauri, Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Nikashauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Aliporejea kama Mwenezi nilimpongeza, Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine? kisha nikaeleza Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Ila nikampa angalizo muhimu sana Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! baada ya angalizo hili, Makonda alingolewa kwenye uenezi akatupwa RC Arusha!. Inawezekana yeye aliona ni promotion!, it was demotion!. Anawezekani hamjui ni nani alisababisha awe demoted!. Hii kauli yake ya leo , itamgharibu big time!. Baada ya Rais Samia kushinda awamu yake ya pili kwa ushindi wa kishindo cha kura milioni 32, zilizopigwa asubuhi mpaka saa 5 vurugu zilipoanza, na CCM kushinda kwa asilimia 98%!, Rais Samia sasa hahitaji kutetewa kwa uchawa!, Mhe. Makonda amejibainisha kuwa yeye ana bahati kuzungumza na Mungu kuhusu 2030, kuwa hao wote wanaojipanga for 2030 wote hawapati!. I wish laiti Paulo angelijua...!, hiyo 2030 anayoizungumzia mbona ni mbali sana...!.

P
 
mbona mama hajajitanda hapo?
 
Ccm kwa namna moja au ingine inakosea sana wananchi!
Yaani urais ushaonekana na ni deal!


Watanzania tuamkeni , inavoonekana tunapoenda hamna walichojifunza 2025!
 
Tatizo la hii nchi liko hapa! Yaani kuna watu wanapewa madaraka ya kuongoza wengine huku wakiwa hawana elimu ya uongozi!

Yaani kwenye hii nchi mtu anapewa nafasi ya uongozi kwa sababu tu ni kada wa ccm, ni chawa wa kiongozi fulani, ni ndugu au swahiba wa kiongozi fulani,, ni mtoto wa kiongozi fulani, nk.

Matokeo ya hayo mapungufu ndiyo haya sasa! Uropokaji kushamiri, wizi na rushwa kushamiri, upendeleo kushamiri, nk.
 
🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…