Uchaguzi 2020 Makonda apiga kambi ubunge Kigamboni

Sasa hivi ana vyeo kama vyote, sioni sababu ya yeye kujiumiza kichwa, anataka nini tena kwa Mungu.
 
Kwanini asiende Kolomije? Huku watamchambua masifuri yake hadi akatwe
 
AJE JIMBO LA UKANGA BHANA, ATATUFAA SANA MAANA HUKU MAJI SHIDA, BARABARA SHIDA. YAAAAANI YAAAANI...AJE TU HUKU KURA ZETU ATAPATA WALA SAIWE NA SHAKA
 
Nafasi ya ubunge ni haki Kwa kila Mtanzania,Sifa mojawapo ni kujua kusoma na kuandika wale mnaosema Makonda ni Zero ni wapumbavu ama hamjui Sifa za kuwa Mbunge!!!
 
Polepole hamuwezi makonda atulie makonda afanye yake
 
Forgery zake je ? Au jinai inafukiwa awamu hii hadi awamu ijayo ? Anautafuta naibu speaker apate kinga !!! Analooooo hilooo
 
Kila siku anafanya makongamano chuo cha mwalimu Nyerere tunamuoma anatokea getini mule sijui ichi chuo cha CCM
 
Hivi Mbunge wa jimbo na mkuu wa huo mkoa nani mkubwa au target ni Uwaziri? Na je Waziri na mkuu wa mkoa nani mkubwa? Au Target ni uspika?
Wewe jamaa bhana makonda hawezi kuwa speaker
 
Hataogopesha watu, vyeti vya kufoji , shahidi wa kwanza Mch GWAJIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…