Makonda ashtakiwa kwa Bashiru, hakika wameamua kumzuia Paul

Kitu cha ajabu ambacho nimekosa tafasiri yake ni kuwa:
Hulka na falsafa ya uongozi ya MH Makonda na Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mh. sana DR. jOHN POMBE MAKUFULI ni Tofauti sana na kwa hiyo si mtu wa kutegemea kuwa baadaye anaweza kuvaa kiatu chake.
Mh. Rais wetu tangu ameanza uongozi wa Siasa, alianza taratibu na katika kazi yake alijibeba mwenyewe kwa kuchapa kazi kwa kiwango cha hali ya juu.
Hata katika kugombea Urais alipebwa na sifa yake ya uchapaji kazi na uadilifu tofauti na Makonda ambaye katika kila jambo analofanya anatumia nguvu kubwa bila sababu na hajui kuwashawishi watu.
Katika hili la kumpiga kofi MH. Warioba sina ushahidi nalo ila lisemwalo lipo.
Mh. Rais wetu juzi alipochaguliwa kugombea tena urais alisema. " hakuna urafiki katika kupeana nafasi za uongozi, Rais Kikwete aliwatosa Rafiki zake akanichagua mimi"
Kwa hili Rais wetu akimbeba Makonda na kumwingiza kwenye uongozi atakuwa ametia doa sana katika uongozi wake.
Ampe ubalozi kwa sababu si vyema kwa wateule wa Rais wenye madaraka makubwa kuliko ukuu wa mkoa kufanya kazi na mtu aliyeko chini yao lakini wanamwogopa kuliko Rais .
 
Duh!
Wasamalia wema wakatoa taarifa Takukuru wilaya ya Kigamboni, Takukuru walipofika eneo la tukio ndugu Paul Makonda alitoa kauli kuwa *“….waambie hao Takukuru kuwa alie ndani ni bosi wao”.*
 
Hii barua sio yakupuuzwa wanakigamboni tupo wamoja katika hili cc Humphrey Polepole
 
Msijitoeufahamu.Makonda anatumwa na meko.n makonda ndio mbunge wenu. Full stop
 
Kauza nguvu za kiume, Wemmy Seppy alisema kuwa jamaa hana dodoki ila kakamba tu hakasimami, anaishia kumimina tu mijidole kwenye Tukuyu na kupiga tu deki, kageuza ulimi kuwa dekio
Hahahaha hahahahaha dah hizo tuhuma ni kiwango cha SGR iliyoishia sio hii ya CCM
 
huyu jamaa inabidi serikali imwekee ulinzi na imlinde kweli kweli, vinginevyo hao hao CCM wenzake ndiyo watakao mmaliza!!, hivi inakuaje mtu mmoja unakuwa na maadui wengi hivi kila kona???
 
Kila la Heri Wana-Kigamboni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…