Makonda ashtakiwa kwa Bashiru, hakika wameamua kumzuia Paul

Jamaa alivyoona mshikaji katumbuliwa akajua ndio basi tena hata ccm hawamuhitaji [emoji16]
Bashite alimchukulia poa sana Dr. Ndungulile. Pongezi nyingi kwa wanaCCM wa Kigamboni. Mmeonyesha ukomavu. Ni uzuzu kumtupa mtu aliyepigana nanyi tangu mwanzo na kuja kuokoteza wahamiaji haramu wanaoibukia kwenu dakika za majeruhi
 
Majungu hayapikwi barazani, Bali jikoni. Kila wakati Makondaa, nakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna mchungaji mmoja alisema amelifuta jina la Makonda milele, the question is, if he did so, Why does this man still exist?? Wekeni akiba ya Maneno

He exists physically, spiritually is absolutely out of existence....!!

Unaweza usielewe, maana wewe ni wa ulimwengu huu. Lakini ngoja nikufafanulie kidogo...

Roho ndiyo mtu. Kila kitu kinaanzia rohoni, kinapitia kwenye nafsi na kisha kinadhihirika mwilini....

Gari yoyote siyo body lake. Gari ni injini. Injini ikiharibika/ikifa hata upachike bodi lililoundwa kwa madini ya dhahabu, the car won't move anywhere...!!

Ukishakufa Rohoni, wewe unakuwa just a walking corpse..!

Mbona jamaa anadunda tu? Jibu ni hilo, HE IS WALKING CORPSE....
 
Wewe nani? Wewe ni sawa na sisimizi kwenye kichuguu cha mchwa
Badala ya kuhangaika na Saccos yenu mnahangaika na Chama Dume CCM! Then mnategemea kupewa nchi!! Never on Earth!!
 
Hii barua inanikumbusha Magu alipokutana na wafanyabiashara kuna mmoja kutoka Mtwara akawa analalama yeye kaajiri mtu mwenye masters kama manager katika hotel yake. Tatizo ni kwamba mfanyakazi mwenyewe ata kuandika formal letter awezi; matokeo yake anajikuta hiyo kazi inabidi aifanye yeye.

Hivi vyuo vyetu avifundishi proffesional skills kama communication at work: unaandikaje libarua lirefu ivyo with a lot of unnecessary info.
 
Nilidhani ni binadamu kamili kumbe ni zero brain, block inakuhusu
Kweli mimi ni sisimizi lakini angalia nisije nikaibukia kwenye makende yako si unajua tena sisimizi walivyo?
 
Wamsamehe kwa hayo mimi napenda kuuliza jamaa mbona bado anaulinzi sana anatoa wapi pesa ya kuwalipa walinzi na ni jobless?
 
Inaonekana wewe ni mpambe wa Ndugulile umetumwa umchafue Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…