B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Nov 15, 2023 #1 Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi.
Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi.
Nsanzagee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 2,209 Reaction score 4,769 Nov 15, 2023 #2 Hampumui? Hamlali? Sasa huu umeanza ujinga? Fanyeni kazi zenu
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Nov 15, 2023 Thread starter #3 Nsanzagee said: Hampumui? Hamlali? Sasa huu umeanza ujinga? Fanyeni kazi zenu Click to expand... Unawalenga nani wasiopumua wewe mwenye kupumua?
Nsanzagee said: Hampumui? Hamlali? Sasa huu umeanza ujinga? Fanyeni kazi zenu Click to expand... Unawalenga nani wasiopumua wewe mwenye kupumua?
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Nov 15, 2023 #4 brazaj said: Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. View attachment 2814571 Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi. Click to expand... Member mwaminifu wa Gambosh huyo,asiwatenge waliomfikisha hapo kwa kweli.
brazaj said: Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. View attachment 2814571 Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi. Click to expand... Member mwaminifu wa Gambosh huyo,asiwatenge waliomfikisha hapo kwa kweli.
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Nov 15, 2023 #5 Noma sana!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Nov 15, 2023 Thread starter #6 monde arabe said: Noma sana! Click to expand... Askari wa mwamvuli wa kina Joni