Unawapa muda wezi? Hivi hii nchi ina tatizo gani?Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya!
Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa kuzilipa pesa hizo na hadi sasa hawajafanikiwa kuzilip...
Ni presidential appointee, so nafikiri liko juu yakeWatamrudishia mkurugenzi
Plea bargain kupatita!Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya!
Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa kuzilipa pesa hizo na hadi sasa hawajafanikiwa kuzilipa....
Mkuu hujui hapo kunandugu wa viongozi, nani wa kumuwajibisha sasa inabaki kelele tuUnawapa muda wezi? Hivi hii nchi ina tatizo gani?
If inwas RC hao wote wangeenda ndani, mnalea tabia za ajab ajabu
Wangezilipa wakiwa korokoroni!!ccm chama changu inapenda kulinda wezi sijui kwanini!!?Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya!
Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa kuzilipa pesa hizo na hadi sasa hawajafanikiwa kuzilipa!
Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli Bi Happiness Raphael Laizer alikiri kuwa watumishi hao walibainika kuiba pesa hizo na waliwapa muda wa kuzilipa na mbele ya Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli aliomba muda wa wiki moja ili ahakikishe wanazilipa!
View attachment 3001107
Huu undugu na urafiki kwenye kazi ndio umetufikisha hapa. leo hii hata walipatikana na madudu kwenye report ya CAG bado wako pale pale ? Hawachukuliwi hatua all in the name of urafiki na undugu wa viongozMkuu hujui hapo kunandugu wa viongozi, nani wa kumuwajibisha sasa inabaki kelele tu
Nimewasemea. Kukusanya mapato si jambo dogoHahaha mbona kama unajisema?
Chadema ni jangaKwahiyo,watumishi hao watarudisha pesa serikalini au watampa RC "Aziwasilishe"?