Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wanasema ukifikiri umeona kila jambo hapa nchini basi ujue unajidanganya!
Huko Monduli Arusha Watumishi nane wamebainika kuiba milioni 52 kupitia mfumo wa poss na cha kushangaza walipewa muda wa kuzilipa pesa hizo na hadi sasa hawajafanikiwa kuzilipa!
Mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli Bi Happiness Raphael Laizer alikiri kuwa watumishi hao walibainika kuiba pesa hizo na waliwapa muda wa kuzilipa na mbele ya Mkuu wa Mkoa, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli aliomba muda wa wiki moja ili ahakikishe wanazilipa!