Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

Eng Kamwele waziri wa miundombinu ameshasema hadharani magari ya serikali yatatengezewa Temess tu, ina maana huyu Makonda yupo kwenye serikali ipi asilijuwe hili?

Huu ujanja ujanja wataacha lini? Hivi ukikaguwa gari ukagunduwa tatizo si lazima ununuwe spare ubadilishe umalize tatizo? Sasa hapo si tunarudi kulekule kwenye upigaji? Watu kweli ni manunda.
 
Leo Kwa mara ya Kwanza ninatoa pongezi Kwa MAKONDA itabidi nipele gari Yangu nikachek
 
It's not always about popularity, let's us learn to appreciate what other people do
Watu wakishamchukia mtu hata afanye jema gani bado watamponda tu.
This is Tanzania, watu wana chuki mpaka kwenye mikono[emoji1787][emoji1787]
 
Watu wakishamchukia mtu hata afanye jema gani bado watamponda tu.
This is Tanzania, watu wana chuki mpaka kwenye mikono[emoji1787][emoji1787]
Sawa...
Peleka Sasa Gari lako utulete mrejesho?..,

Ova
 
Tatizo siyo service, shida ipo kwenye barabara mbovu na hiyo mituta mliyojaza huko barabarani. unakuta barabara, mfano ya makongo imejaa mashimo utafikiri mgodi wa dhahabu
 
Umetumia kiungo gani kufikiri? Unadhani gari ukiifanyia checkup tu inapona tatizo?
Pia kutakuwa na kudanganywa matatizo kwwnye magari ili kupigwa hela ukienda kichwakichwa. Utasikia Ignition key imetanuka na inavuja inatakiwa 300k.
 
Hivi anaposema Bure
Kama mtu anataka abadilishiwe engen oil, hydraulic oil etc atapewa Bure pia
Mimi naona kama Kuna mtu anatafutiwa kik tu hapo kwenye garage yake

Ova
Ujinga ujinga tu, likionekana tatizo unaingia mfukoni kuliko kawaida.
 
Kwani kikawaida kufanya checkup ya gari kunaghalimu kiasi gani?
Mara nyingi ukifanya check up lazima ujipange Kwanza na pesa ya kununua spare pia inategemea na mafundi wenyewe kuna wengine watakuambia vitu vya kubadilisha karibia engine yote na wengine watakuambia vitu vichache Tu na ukibadilisha unafanya Safari mwanzo mwisho bila shida yeyote
 
Kwa hiyo hko utafanyiwa Bure hadi kuwekewa spea bure

Ova
 

Eneo gani nipeleke gari langu likakaguliwe? Mwenyezi Mungu ni Mungu mwenye nguvu sana. Tujifunze unyenyekevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…