Makonda atoa saa 48 Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania kumkabidhi ofisi Hasheem Thabeet

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameagiza Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kuhakikisha ofisi ya Rais wa shirikisho hilo inakabidhiwa kwa Hasheem Thabeet ndani ya siku mbili kabla ya Jumatatu.

Agizo hilo amelitoa Machi 13, 2026 wakati akifunga mkutano wa Baraza la Michezo la Taifa na viongozi wa vyama vya michezo uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa

Your browser is not able to display this video.
 
Lakini makonda ni survival, na alijua kukaa kimya leo hii ni Waziri
Na Kakurwa nae alichokonolewa sana lakini alipiga kimya, leo nae ni Waziri
 
Hashim thabit kaulizwa swali badala ya kujibu kaanza na mlolongo mreeefu, mara ajitambulishe, mara hivi nimeachia hapo hapo kutizama video yenyewe.
This is Africa, and Africa is for Africans, Europe and America you won't see such a thing, kwa majina ninaitwa natokea Shule ya Msingi Kibanda A nasoma Darasa la 6 C, jibu lake ni Chatu... Amekosa, mwingine... it's from schools how they teach you to answer them questions you know, up to there it's brains creations you know, you're all programmed to be like that you know such a thing, unajibu swali unatambulisha mpaka mkeo au wake zako kabla ya kujibu swali only in Africa you know
 
Kwani viongozi wa vyama vya michezo wanateuliwa na waziri?
 
Hashim thabit kaulizwa swali badala ya kujibu kaanza na mlolongo mreeefu, mara ajitambulishe, mara hivi nimeachia hapo hapo kutizama video yenyewe.
Pamoja na exposure yote bado hajabadilika? Sasa Hata hiyo ofisi ataifanyia nini?
 
Hashim thabit kaulizwa swali badala ya kujibu kaanza na mlolongo mreeefu, mara ajitambulishe, mara hivi nimeachia hapo hapo kutizama video yenyewe.
Ana uwezo mdogo huyo hawezi kujibu maswali. Mfumo ndo unambeba makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…