Makonda awachana wanaofuatilia maisha yake

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda amewatupia dongo wale wote wanaoshinda mtandaoni wakifuatilia kauli na maisha yake kwa ujumla..

Badala ya kulialia hovyo waende kufanya kazi.
 
Wauza unga bado wanahasira na makonda
 
Kuna lugha za kiuongozi.... JK alikuwa anatania sana, lakini alikuwa anatanguliza maneno flani kabla ya utani au BAADA YA UTANI
 
Jiwe gizani !lukisikia koo,jua limempata mtu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…