Makonda awachana wanaofuatilia maisha yake

SijawAhi kumuelewa Huyu RC tangu aanze madaraka akiwa DC
 
Na hutakaa umwelewe
Ni vigumu kuwaelewa majambazi waliokuwa wakitumwa kukwapua na mwendakuzimu pombe.
Watu kama kina sabaya na Baba Keagan walitamba sana enzi za dikteta ila maisha yanabadilika sana, Leo hii mmoja yule analiwa 0 na manyampara pale kisongo, mwingine amekip low profile tusimsagie kunguni
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Ni ngumu pia kuwaelewa magaidi
 
Aonyeshe vyeti kwanza. Hii sio nchi ya mafalafala
 
Back
Top Bottom