Mtoeni tundu lisu afanye mdahalo na mama dully mbona simpleMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.
JF🙌🙌🙌Mdahalo?...mtu ameshindwa kupata D mbili tu katika masomo kumi nae anataka mdahalo?...Tanzania ina vituko sana...
Ufanyike mdahalo Lissu vs Makonda.
Makonda nae amekua mtu wa kulisemea TAIFA 🙌Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.
Yanga siyo size ya Pamba Jiji ila kwakuwa wapo ligi moja lazima wakutane.Lissu sio Size ya Makonda Lissu amefanya mdahalo na Wakina Masaju Jaji mkuu akiwa CAG Bungeni Jaji werema CAG wakina Felesh nyie Achaneni na Lissu
Suala la katiba mpya sio jambo la siasa nyepesi nyepesi ila ni jambo la maslahi kwa taifa na halihitaji kufanywa mzaha wala ulaghai.Wakati wa kuitafuta mliingiza maslahi binafsi sasa mnaleta dhihaka?Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi