Ana waibisha anao jinasibu nao. Iwe watu kanda ya yake au wenye Elimu kama yakeMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.
Umeufunga uzi kwa kishindo.Mdahalo?...mtu ameshindwa kupata D mbili tu katika masomo kumi nae anataka mdahalo?...Tanzania ina vituko sana...
Huyo atakutana na mwenyewekiti wa Bavicha ndo size yakeYanga siyo size ya Pamba Jiji ila kwakuwa wapo ligi moja lazima wakutane.
Aka resit mitihani yake apate vyeti kwa jina lakeeMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi
uahairishwe kwaajili ya kupisha marekebisho ya katiba wajitokeze kufanya mdahalo nae.
Makonda amesema " Kama kuna watu wanajiamini kwamba wanazo hoja za nguvu juu ya mambo ya katiba tufanye mdahalo nao, tunawaacha watu waovu wamesema kwa nguvu nyingi mpaka ikafika hatua wakaonekana wao wapo sahihi yaani wewe unayesimamia katiba, sheria unaonekana wewe ndio mbaya wanaovunja sheria na katiba wao wanaonekana wazuri. Paul makonda Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM leo Oktoba 11, 2025 mkoani Shinyanga.
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amewataka wanaohamasisha uchaguzi