Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hatari sana mkuu. Watu waliochoka kifikra kudhani hawako watu nje ya wao wenye kufikiri yenye tija kwa nchi...CCM inaweza kuwa imechoka lakini hao wenye kufikiriwa kuibadilisha wameshachoka hata kabla hawajapewa nafasi ya kuongoza Tanzania. Hao ambao ni mbadala wameshaonyesha udhaifu hata kabla hawajakabidhiwa ikulu.