Makonda awataka Wachezaji Yondani na Nyoni Wasistaafu Kuichezea Taifa Stars hadi wakaribie Umri alionao Mugabe sasa

CCM inaweza kuwa imechoka lakini hao wenye kufikiriwa kuibadilisha wameshachoka hata kabla hawajapewa nafasi ya kuongoza Tanzania. Hao ambao ni mbadala wameshaonyesha udhaifu hata kabla hawajakabidhiwa ikulu.
Hatari sana mkuu. Watu waliochoka kifikra kudhani hawako watu nje ya wao wenye kufikiri yenye tija kwa nchi...
 
Umri wake wa kwenye passport ni chini ya miaka 35 umri wake halisi anaweza kuwa ni miaka kati ya 38-40.
Kwa mfumo huu hakuna tutakapokwenda... (POSHO, UPENDELEO, MIPANGO YA OVYO, SIASA MBAYA, MISIFA NK... Tunaweza kuona jinsi timu ya taifa ya watanzania ilifaulu kutinga AFCON! Na jinsi timu ya CCM ilituaibisha AFCON...
 
Tatizo letu watanzania ni ukosefu wa uvumilivu. Tungepata mafanikio mazuri kila mtu angejifanya kuipenda Taifa Stars. Cha muhimu ni kuwekeza kwenye soka la vijana kwa maana halisi.
 
Watanzania ndio waliomtuma Makonda akaseme Taifa stars inatekeleza ilani ya CCM?

Nilipata kumuuliza mtu mmoja "...hivi Makongo iliyokuwa ikizalisha vipaji iliishia wapi? Hivi kile kituo cha JK pale kidongo chekundu watoto wale hupotelea wapi?"
Hakunipa jibu la kueleweka mpaka leo...
Nikiona watu wanang'ang'ania "wastaafu" napata shaka kuwa kuna jambo limejificha chini ya zulia...
 
Watanzania ndio waliomtuma Makonda akaseme Taifa stars inatekeleza ilani ya CCM?
Waliompa uenyekiti ndio waliomtuma atoe matamko yale vinginevyo tungewasikia wakikemea kauli ile...
Siasa kwenye soka.... CAF na FIFA tushukuru walitufumbia macho
 
Hii timu ni yake maana iko kwenye mkoa wake! CCM oyeeee.
 
Tatizo letu watanzania ni ukosefu wa uvumilivu. Tungepata mafanikio mazuri kila mtu angejifanya kuipenda Taifa Stars. Cha muhimu ni kuwekeza kwenye soka la vijana kwa maana halisi.
Hivi wale Vijana walifika fainali gabon
Baada ya pale mliwaendeleza/mliendeleaa
Ile ndy ilitakiwa kuwa taifa stars
nao....Nyie shida yenu ni usimba na uyanga

Ova
 
Hivi wale Vijana walifika fainali gabon
Baada ya pale mliwaendeleza/mliendeleaa
Ile ndy ilitakiwa kuwa taifa stars
nao....Nyie shida yenu ni usimba na uyanga

Ova
mrangi ulivyoandika utadhani wewe ni Mkenya au Mnigeria. Masuala yetu sisi wabongo huwa hayana muendelezo.

Tulikuwa na kocha bora sana Kim Poulsen, aliwaandaa kina Frank Domayo. alipoingia Malinzi TFF akaanza kumuingilia kazi, akawahi kufanya kazi miezi sita pasipo kulipwa mshahara, akaona huu ujinga, akaondoka zake na kurudi kwao Denmark.
 
Kama wåkistaafu au kugoma kucheza taifa staa basi mtukufu mkuu wa mkoa wanyooshe hao ķupitia kile kikosi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…