Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hivi Kumbe Mh Paul Christian Makonda wako ofisi moja na Mh Mwana F( AA)Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa ofisi yake haikuwa na taarifa kuhusu matumizi ya picha ya Naibu Waziri katika suala hilo. “Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi.
Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa. Tuheshimiane,” aliandika Makonda.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mchakato wa kutengeneza na kutambulisha jezi mpya za Taifa Stars, huku suala la mawasiliano na Wizara likiwa miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Waziri huyo
View attachment 3672170
Vita Ya UchumiAisee.
Che Che CheKuna walakini...kati ya waziri vs Naibu
Waziri yupo sahihi, hii jezi ni kituko haina hadhi ya kuitwa jezi ya timu ya taifaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa ofisi yake haikuwa na taarifa kuhusu matumizi ya picha ya Naibu Waziri katika suala hilo. “Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi.
Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa. Tuheshimiane,” aliandika Makonda.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mchakato wa kutengeneza na kutambulisha jezi mpya za Taifa Stars, huku suala la mawasiliano na Wizara likiwa miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Waziri huyo
View attachment 3672170
Unavofurahi utafkiri hata kama ikiwa ivo kwamba watapata hasara. Mkizikataa hizo wenzenu wanatoa bajeti mpya na ww unaecheka ndo vile, kodi yako inafanya kazi mara mbili kwa kitu kile kile😀Mara paap designer tender alipewa abduli wakaidizaini mabichi boi kizimkaz pale 😂
Mbona kitambo tu, Jamaa anamkanyagia dogo.Kuna walakini...kati ya waziri vs Naibu