lina wivu lile matako zembeMbona kitambo tu, Jamaa anamkanyia dogo.
senge nyanya lile bongeMakonda ana ego mbaya sana
Hayo mambo kwa mm naona hayameki sensi mkuu, kawaamshe vijana wenzio pale kariakoo muandamane. Jf hii sio ya kutumia kuamsha vijana kuhus matumizi ya kodi zao.Unavofurahi utafkiri hata kama ikiwa ivo kwamba watapata hasara. Mkizikataa hizo wenzenu wanatoa bajeti mpya na ww unaecheka ndo vile, kodi yako inafanya kazi mara mbili kwa kitu kile kile😀
Hata mimi nilipata ukakasi kwenye hilo. Kuna haja ya kutolea matamko yahusuyo kazi kwenye account husika na si account binafsi.Baba Keagan ndio huyo waziri? Username gani hii kama waziri mwenye dhamana?
Kubwa.Vita Ya Uchumi
Kimeshaumana huko 😀😀🙌🏽Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa ofisi yake haikuwa na taarifa kuhusu matumizi ya picha ya Naibu Waziri katika suala hilo. “Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi.
Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa. Tuheshimiane,” aliandika Makonda.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mchakato wa kutengeneza na kutambulisha jezi mpya za Taifa Stars, huku suala la mawasiliano na Wizara likiwa miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Waziri huyo
View attachment 3672170
Acheni majungu. Hizo jezi zina shida gani hadi zionekane kituko? Au mlitaka ziwe na rangi nyekundu na nyeupe ambazo hazipo kwenye bendera ya Taifa? Nyinyi Vilaza sijui ilikuwaje mkapewa madaraka.Waziri yupo sahihi, hii jezi ni kituko haina hadhi ya kuitwa jezi ya timu ya taifa
Serikali ndio inatengeneza jezi, na kumlipa kocha, hao tff hawana uwezo huo!Yeye kama nani anaweza kukataa jezi za Taifa?, anahusika vipi kwenye masuala ya jezi za timu ya Taifa?. Serikali anaingia kama stakeholder anayeshirikishwa na sio kutoa maamzi.. mwenye mamlaka ya jezi zipi zinafaa na hazifai ni TFF!. Kuwa na VIONGOZI kama Makonda Kuna aibiaha Taifa!.
Makonda ni waziri wa kuteuliwa kwa nafasi ya ubunge au naye alishinda uchaguzi wa 29 Octoba 2025?Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa ofisi yake haikuwa na taarifa kuhusu matumizi ya picha ya Naibu Waziri katika suala hilo. “Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi.
Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa. Tuheshimiane,” aliandika Makonda.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu mchakato wa kutengeneza na kutambulisha jezi mpya za Taifa Stars, huku suala la mawasiliano na Wizara likiwa miongoni mwa mambo aliyoyasisitiza Waziri huyo
View attachment 3672170
Huna akili!.Serikali ndio inatengeneza jezi, na kumlipa kocha, hao tff hawana uwezo huo!
Ubora (quality) unategemeana na kiwango cha fedha kilichokubaliwa wakati wa kupewa zabuni. Yawezekana kiwango cha fedha kilichokubaliwa ni kikubwa kulinganisha na ubora wa jezi ndio maana Waziri anahoji. Vilevile, huwezi tarajia jezi zenye ubora kama umetoa fedha kidogo.Mh. Waziri kaziona jezi kwa maana kapelekewa ofisini au kaziona tu kwenye mitandao?
Kama kapelekewa na yeye akaziona basi sawa anaweza kutoa maoni yake kama mdau mwingine yeyote wa michezo maana utaratibu wa mikataba ya kubuni, kutengeneza na kuuza jezi za timu ya taifa husimamiwa na shrikisjo la soka nchini
Lakini kama kaziona tu kwenye mitandao halafu akatoa remarks hizo kwa njia hiyo nadhani Waziri atakua amekosea na maswali yatakua mengi juu yake. Kwanza ubora hafifu anaozungumzia ni quality ya nguo, dizaini yake au rangi zilizotumika?
Kama ni rangi na dizaini mbona viko poa kabisa
Kwani kuna ubaya gani Naibu Waziri akivaa jezi hizo? Mkataba wa kutengeneza jezi unasimamiwa na Wizara husika? Michezo mengine nchini utaratibu wa kupata nguo zao (kit) upo kama wa TFF kwa maana lazima ukapitishwe na Waziri wa Wizara husika?
Maswali ni mengi kwakweli
Nakubaliana nawe Mkuu Mawembasa1979Ubora (quality) unategemeana na kiwango cha fedha kilichokubaliwa wakati wa kupewa zabuni. Yawezekana kiwango cha fedha kilichokubaliwa ni kikubwa kulinganisha na ubora wa jezi ndio maana Waziri anahoji. Vilevile, huwezi tarajia jezi zenye ubora kama umetoa fedha kidogo.