William J. Malecela R I P Joined Apr 27, 2006 Posts 26,584 Reaction score 10,400 Nov 6, 2017 #141 yuleMskinny said: Huyu jamaa fala sana. Ina maana watu waliokua Element wakaona walikua wanaona mazingaumbwe? Click to expand... - Mange aliona kilichotokea Elements? Au uliona wewe? Kama uliona kweli matusi ya nini kwa nini usisimamie ukweli uliouona unakimbilia matusi? hahahahahaha foolish kabisa le Mutuz
yuleMskinny said: Huyu jamaa fala sana. Ina maana watu waliokua Element wakaona walikua wanaona mazingaumbwe? Click to expand... - Mange aliona kilichotokea Elements? Au uliona wewe? Kama uliona kweli matusi ya nini kwa nini usisimamie ukweli uliouona unakimbilia matusi? hahahahahaha foolish kabisa le Mutuz
William J. Malecela R I P Joined Apr 27, 2006 Posts 26,584 Reaction score 10,400 Nov 6, 2017 #142 Kambaku said: Wewe ni kijana au mzee? Mbona hujapewa cheo chochote hadi sasa kama nawe sio mpiga majungu? Click to expand... - Sijahitaji cheo nikitaka naweza kukipata ila sina huo mpango, ila mnatia huruma sana na majungu majungu hivi yatawasaidia nini hasa kwa mfano? - Omarion aligombana na RC hakuna aliterekodi kwa simu na umati wote ule uliokuwepo? le Mutuz
Kambaku said: Wewe ni kijana au mzee? Mbona hujapewa cheo chochote hadi sasa kama nawe sio mpiga majungu? Click to expand... - Sijahitaji cheo nikitaka naweza kukipata ila sina huo mpango, ila mnatia huruma sana na majungu majungu hivi yatawasaidia nini hasa kwa mfano? - Omarion aligombana na RC hakuna aliterekodi kwa simu na umati wote ule uliokuwepo? le Mutuz
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Nov 6, 2017 #143 W. J. Malecela said: - Sijahitaji cheo nikitaka naweza kukipata ila sina huo mpango, ila mnatia huruma sana na majungu majungu hivi yatawasaidia nini hasa kwa mfano? - Omarion aligombana na RC hakuna aliterekodi kwa simu na umati wote ule uliokuwepo? le Mutuz Click to expand... Acha mambo yako we Mzee, huitaji cheo Wewe?
W. J. Malecela said: - Sijahitaji cheo nikitaka naweza kukipata ila sina huo mpango, ila mnatia huruma sana na majungu majungu hivi yatawasaidia nini hasa kwa mfano? - Omarion aligombana na RC hakuna aliterekodi kwa simu na umati wote ule uliokuwepo? le Mutuz Click to expand... Acha mambo yako we Mzee, huitaji cheo Wewe?
William J. Malecela R I P Joined Apr 27, 2006 Posts 26,584 Reaction score 10,400 Nov 6, 2017 #144 Kambaku said: Acha mambo yako we Mzee, huitaji cheo Wewe? Click to expand... - Nikikihitaji nakipata anytime sina shida, wacheni kuandika majungu majungu cause hakuna atakayewasikiliza mpaka mtakapojifunza kuandika hoja! le Mutuz
Kambaku said: Acha mambo yako we Mzee, huitaji cheo Wewe? Click to expand... - Nikikihitaji nakipata anytime sina shida, wacheni kuandika majungu majungu cause hakuna atakayewasikiliza mpaka mtakapojifunza kuandika hoja! le Mutuz