residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kile chama hakina wanaume mkuu,kina kaka poa na wavulana.Hakuna picha kuna video ila waweza kwenda kwenyw page ya jamii forum insta acha uvivu we mwanaume bhana
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanaume anayeogopa changamoto,iwe ndogo au kubwa,lazima atapambana nayo.