Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

Kama wewe sio mnafiki, weka ushahidi wa Lissu au mwingine KULAZIMISHA MAHOJIANO.

USHAHIDI..
USHAHIDI HAPA..
Unaishi wapi wewe? Hujaona Lissu ameingia kwenye ofisi za watu kwa kuvamia wakati aliambiwa kipindi chake cha mahojiano kimefutwa.
 
Alialikwa kijana mbona unakuwa slow learner au ndio mahaba kwa chama chako huoni husikii.??
Amekufa Thadei Ole Mushi mliobaki kwenye chama Chenu kuandika nguvu za hoja hakuna mmebaki kusifiana hata kwa ujinga.
Baada ya kualikwa si alipewa taarifa siku moja kabla kuwa asiende kwa kuwa kipindi kimeahirishwa na kwamba ataitwa wakati mwingine? Sasa yeye alikuwa analazimasha kwenda kufanya nini tena? Kwani ni mali ya umma ile? Ni mali ya CHADEMA ile? Kinatumia kodi za watanzania? Ya nini kuonyesha kukosa busara na kutia aibu chama kizima?
 
Mbona ujauliza Nani alipiga simu kuzuia?

Huyo aliempa taarifa lisu ndio alimwambia sababu ya kucancel ni simu kutoka juu

Na ndio hayo mambo mpaka huko chini watu wanadhulumiwa na badae mnajifanya kuwasaidia ni hizo simu kutoka juu

Mnatengeneza tatizo then mnalitatua na kudanganya watu nyie ni mashujaaa

Sio kila kitu cha kuwa upande mmoja vingine uwe unapima
 
Labda kakutia aibu wewe chama hakijapata aibu(japokuwa sio msemaji wa chama)

Wasafi waache kutumika kama ndomu unamwalika mtu halafu una cancel appointment bila sababu za msingi.
Si utoto huo??
 
Labda kakutia aibu wewe chama hakijapata aibu(japokuwa sio msemaji wa chama)

Wasafi waache kutumika kama ndomu unamwalika mtu halafu una cancel appointment bila sababu za msingi.
Si utoto huo??
Acheni kulia lia hapa ,anzisheni tv yenu na siyo kupiga makelele utafikiri ni lazima kwa yeye kufanyiwa mahojiano.sasa wewe mtu amekwambia kiwa kipindi kimeahirishwa halafu wewe unaanza kwenda kuharibu utaratibu wa watu eti unataka kuhojiwa.
 
Trash all rubbish for ur safety
 
Waliomaliza ndio waliompigia simu ya kuahirishwa kwa kipindi kwa siku husika. Kwa hiyo hakukuwa na sababu tena ya kuanza kwenda kuharibu ratiba za watu ofisini kwao ,wakati tayari umeshapewa taarifa kuwa hauna kipindi.
 
Unadhan ingekuwa simple like that then serikali ingejibu?

Serikali imejibu because wamejua mtu ambae alipiga simu kuzuia interview

Na wamemwambia kafanya makosa Sana

Then wewe unakuja kuleta utopolo wako

Yan ww ukisikia chadema unaona kama sio binadamu vile
 
Lete maneno ccm mbele kwa mbele
 
Achana naye wewe unahisii mleta mada ana akili timamu huyo!!!!!,,Mtu mwenye akili timamu kabisaa hawezii kuwaza anachowaza mleta mada na ndio vijana wengii wa Tz wako hivyo sijuii sisi watanzania alituroga nani hadii kuwa na watu wapumbavu wanaojalii matumbo Yao tu na Sio kujalii wenzao yaanii wapo tayarii kupokea pesa Kwa ajili ya kuwamaliza wenzao inasikitisha saana!!!
 
Acheni hasira na makasiriko CHADEMA.kama mnapenda sana kwenda kwenye Tv basi fungueni yenu. Mbona Ruzuku mnapewa? Kwanini mnatafuna yote bila akiba.
 
Acheni kulia lia hapa ,anzisheni tv yenu na siyo kupiga makelele utafikiri ni lazima kwa yeye kufanyiwa mahojiano.sasa wewe mtu amekwambia kiwa kipindi kimeahirishwa halafu wewe unaanza kwenda kuharibu utaratibu wa watu eti unataka kuhojiwa.
Hakulamishwa kuhojiwa alitaka kumjua nani huyo aliyezuia kipindi?
Uwe mwelewa dogo sio unakaza fuvu tu.
 
Acheni hasira na makasiriko CHADEMA.kama mnapenda sana kwenda kwenye Tv basi fungueni yenu. Mbona Ruzuku mnapewa? Kwanini mnatafuna yote bila akiba.

Nyie hampewi ruzuku?
Kwa akili yako unadhani ruzuku ni hisani?

We jamaa ndio unafanya watu wote wa ccm waonekane hawana maana

Unatetea ujinga kabisa
 
Huwa unaleta habari za Makonda lakini sasa upo kimya.

Siyo unafiki ni kitu gani? Maana hapo unathibitisha kauli ya kuwa wewe ni chawa.

Maana chawa wanaruka tu bila kujuwa hali halısı ya boss?
 
Huwa unaleta habari za Makonda lakini sasa upo kimya.

Siyo unafiki ni kitu gani? Maana hapo unathibitisha kauli ya kuwa wewe ni chawa.

Maana chawa wanaruka tu bila kujuwa hali halısı ya boss?
Jifunze kukaa kimya na siyo kila wakati unataka kuzungumza tu. Mwenye hekima huzungumza wakati ukifika na anapokuwa na jambo la kuzungumza na siyo kila anapopewa nafasi ya kuongea
 
Jifunze kukaa kimya na siyo kila wakati unataka kuzungumza tu. Mwenye hekima huzungumza wakati ukifika na anapokuwa na jambo la kuzungumza na siyo kila anapopewa nafasi ya kuongea
Mkuu with all due respect, siku nyingine nani huwa anakupa nafasi ya kuongea? Maana naona upo kimya tu hadi serikali ndo waseme yuko likizo?
Siyo vyema mkuu tumia busara na hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…