Vmatongo
Senior Member
- Dec 8, 2021
- 158
- 240
Tayari umeapa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na wewe sio mgeni kwenye kazi ya ukuu wa Mkoa ulishaitumikia hapo mwanzo wakati wa Hayati Rais Magufuli.
Sasa napenda kukushauri hili.
Enzi za Magufuri zimeisha pita sasa hivi tupo na Mama Samia ndio Rais wetu hii tabia yako ya kumsifu na kumuenzi sana Magufuli ndio kasoro yako kwa MAMA. Acha, vinginevyo hata huo ukuu wa mkoa utakushinda kila zama na kitabu chake, kila Rais anataka nyayo zake ndio zionekane unapoleta na kumtanguliza mwendazake maana yake unaionyesha jamii kwamba Mama hana uwezo, hiyo ni mbaya sana.
Mtangulize Mama mbele kwa kila jambo hata kama hutaki basi kuwa hata mnafiki!
Usije ukaleta kiburi ukadhani Magufuri anaishi upo kwenye nyakati nyingine kabisa jifunze kubadilika.