Makonda is a good leader, sema kupenda sifa na kujipandisha ndio kunamwangusha sana

Utopolo mtupu.
Kwa hiyo unaona majisifu ndio uongozi bora. Hebu tuambie kwa muda aliokuwepo alifanikisha nini au lipi? Kuwakusanya kina mama na hakuna alichowasaidia?! Kutibua familia za watu??!!
 
Huyo anafaa kuwa kiongozi wa wachunga ng'ombe siyo watu wa daslam
 
Leaders hawajikwezi wala kupandisha mabega.
Ukiona tofauti jua ni aidha akili ndogo au kichwa nazi tu kama wengine. Hivyo anafaa kuwaongoza wasiostaarabika au mafisi maji!
 
kwanza mwizi na alitaka kukwepa kodi , alivamia kituo cha radio kwa kutumia askari kwa maslahi yake binafsi, hata Magu alimchoka na akamtema, US na intelijensi yao wanamjua kuliko wewe unayemtaka na ndio maana akawa ban kuingia US, legend mtaani inasema anahusika na michezo michafu ila hiyo nawaachia wanaojua ukweli mimi sijui
 
We nitajie kiongozi ambae hans kasoro
Acha kunajichanganya basi. Kwanza amefoji vyeti vya kidato cha nne! Hizo sifa za kuwa kiongozi bora atazipata wapi? Na wakati anatumia jina la mtu mwingine?

Yeye jina lake siyo Daudi Albert Bashite?
 
Mchukue akawaongoze kwenye familia yenu. Kiongozi jina likisikika kwenye vyombo vya habari ndiyo mzur? Kweli wajinga hawaishi
 
Nakuelewa sana but kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa
Unajisahaulisha makusudi au? Rejea moja ya hotuba za Mwl. Nyerere kuhusu ukaburu na alisema kuwa, " kaburi ni kaburi tu"! Na mtu akishaonja nyama ya binadamu hatoacha kuisaka ili aile Tena na Tena!
Makonda alishaharibu kwa mengi na hafai kuwa kiuongozi wa umma! Unajua elimu yake Ina utata kwa maana ya vyeti vinavyoitambulisha ni feki! Hili ni kosa la jinsi na alitakiwa ashitakiwe kwa jinai hiyo but alilindwa na mteuaji huku akiwatumbua waliofanana naye! Double standard huh!
 

Hakuna good leader anayependa kujipendekeza na kujipandisha. Mpaka hapo utaona sio good leader wala hafai kuwa leader achilia mbali "good leader"!
 
Matatizo ya siasa zaAfrika watu wanaangalia sana watu badala ya kuangalia sera na mifumo.

Makonda alikosa maandalizi, alikosa elimu ya kisiasa, kwa sababu CCM, kama alivyosema Horace Kolimba, haina dira wala muelekeo.

Ndiyo maana viongozi mpaka wanaopewa urais kama Magufuli hawajapata elimu ya siasa, wanaongoza ovyo.

Sasa wewe kuanzia heading yako tu una contradiction.

Kwa sababu, kupenda sifa na kujipandisha si sifa za kiongozi mzuri.

Sasa utasemaje Makonda ni kiongozi mzuri ila anapenda sifa na anajipandisha tu?
 
Makonda anafaa kujiunga MISIFAZ CAMP kule kwa kina DULLY SYKES AU SHAROBALO REKODI KWA KINA BOB JUNIOR
 

Hakuna sababu ya kuwa na viongozi wenye “lakini” kuna wengine wazuri
 
Wewe umerogwa siyo bure
 
Hujanielewa labda, ebu rudia kusoma tena nilichoondika
Hakuna na haitatokea ukaandika uzi wa kumsifu Makonda watu wakakuelewa.
Makonda hafai hata kidogo na hana sifa ya kuongelewa .
 
Makondo mi namkubali mnooooo!
Ni bonge la kiongoziiiii!
Yuko tayari kujotoa kwa kile anachokiamini!

Kwa yeyote aliyependa uongozi wa kiongozi wetu hayati Magufuli atakubaliana na Mimi.
Paul Makonda anafaa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini ukiwa Rais utainyoosha hii nchi!

Wapinzani ( mashetani) kama yule lusifa aliye mpinga Kristo ndiye anaweza kupinga ukweli huu!

Makonda unaweza kunyoosha nchi hii bila kuangalia risk ya maisha yako kama JPM. Mashetani ( Wapinzani) rejeeni sakata la madawa ya kulevya.

Nakukubali Makonda. Utaongoza nchi hii!

Karibuni mashetani mliompinga Kristo ( Wapinzani) kutoa matus na kupinga ukweli na uhalisia maana ndio kazi ya rusfa aliyefungwa minyororo kuzimuni.

Pepo la kuzimu ( mpinzani) jitokeze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…