Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!

ha ha ha chid mapenzi.ni.jamaa tu.ana duka lake la nguo waweza mcheki insta chiddimapenzi
Haaaa
Jamaa katisha, kwa hiyo naye ni drug lord.
Mi tatizo siko IG
So jamaa kwa kuuza tu nguk kawa na jina, katisha huyo!!
 
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.

Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".

Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.

Anaishi wapi? N.k.
tafadhali.au tafadhari.me sijui lakini
 
Haaaa
Jamaa katisha, kwa hiyo naye ni drug lord.
Mi tatizo siko IG
So jamaa kwa kuuza tu nguk kawa na jina, katisha huyo!!
anauzia masista duu wa bongo.movie na wauza sura wa mjini hivo ana jina jina pia ni mme wa shamsa ford (bongo movie)
kila siku safari za china kumbe ana mizigo mingi ya kufata teh
 
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.

Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".

Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.

Anaishi wapi? N.k.
Sasa alieolewa na huyu jamaa tena juz tu
 
anauzia masista duu wa bongo.movie na wauza sura wa mjini hivo ana jina jina pia ni mme wa shamsa ford (bongo movie)
kila siku safari za china kumbe ana mizigo mingi ya kufata teh
Anhaaa
Lakin kuna watu walisema wana achana sjui, shamsha na mjua sana she z gud girl
Aaaj
Huyo naye hawezi kuwa msafi , ngoja makonda amshughulikie
 
Haaaa
Jamaa katisha, kwa hiyo naye ni drug lord.
Mi tatizo siko IG
So jamaa kwa kuuza tu nguk kawa na jina, katisha huyo!!
Thubutu! Kuwa drug lord mchezo...!! Drugs lord hatumii duka la nguo kutakatisha pesa bali atatumia biashara zenye akili; ma-real estate n.k!

Chidi yule ni Punda tu na kama ameshaanza kubeba mzigo binafsi, basi ingekuwa ndo zile biashara halali, labda tungesema ana duka kubwa Kariakoo wakati tunapowaongelea akina Mo Dewji!!!
 
Hahahaha
Kwa hiyo ndio maana makonda kawa huru kumtaja!!
Bas kweli ni ka donkey tuu hako
 
Kwahiyo hilo jina (mapenzi) lipo kwenye birth certificate yake mtajwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…